BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,436
Baraa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi naisi ya kwangu imeshachukuliwaHuwa nikisikiaga hii nachoka sana aisee
Mkuu kwa sababu tayari tuna teckiniki kama hizi tunazopeane, mtu ukienda kwa sangoma na akamleta huyo kuchi, ile anamweka chini unafanya yako ili akimbie na kuanza kutimua mbio ili akirudi kumbe una yako!.Sio rahisi kama unavofikiria utamkimbiza kutoka wapi kwenda wapi na huo muda unapata wapi😀😀
Wewe tena? Ushindwi kitu maana wewe ni nusu chuma nusu mtu[emoji881]Hizi zote sijawahi kuzitesti,ngoja nije nijaribu huo wa Nyoka Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo wakuua watumishi mwanao Ally Mpemba si ndio anaufanya au umesahau?Hizi zote sijawahi kuzitesti,ngoja nije nijaribu huo wa Nyoka Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Lete ushuhuda ,JoannahYaani hapa ninaposoma huu Uzi Moyo wangu unavuja damu!naandika nafuta!pesa hizi!
Watu wanaenda na sayansi na teknolojia[emoji23][emoji23]Siku hizi watu mambo ya kulala chini sijui kutembea pekupeku hawataki[emoji3][emoji3] ulozi digital
UmeniwahiOngeza nyama nyama hapa
hata sisi walokole mafanikio yetu ni ya masharti.Jambo lolote likishakuwa na sharti basi halina maana tena, hapo ni mithili ya mfungwa tu.
Unapoambiwa nguvu za giza ni changamoto sana kutolea ufafanuzi,usemalo ni kweli ila vijana wengi wanaingia ktk mtego wa ulozi kwa uvivu au kutafuta short cut ya maisha,maisha ni mapambano na tuamini ktk kufanya kazi kwa bidii huku tukiweka mbele uaminifu kwa wanaotuzungukaUkifanikiwa kidogo watu huwa wanaamua kukutengenezea stori ambayo hujawahi kuiishi
Hasa hizi biashara za usafirishaji huwa kuna changamoto nyingi sana unajitahidi uiweke gari kwenye hali nzuri na marekebisho ya mara kwa mara unafunga tairi mpya ila zinapasuka gari inaanguka inaua watu Unaambiwa umetoa kafara.
Unapambana had na madereva wako unawaambia hutaki gari zako zikimbie, zifate utaratibu na Sheria za barabarani hutaki ligi ila unakuja kusikia bus imegongana uso kwa uso na imeua watu 9 na wafanyakazi wote waliokua wamekaa mbele na chanzo Cha ajali ni Lori lililo overtake bila tahadhari ila stori itatengenezwa kuwa mmliki wa bus ndo umetoa kafara
Jicho jicho au jicho la uku chnPesa ya masharti huwa haina raha, nna jamaa yangu yupo DRC alishanishirikisha maswala hayo sharti ni kutoa jicho, nikakataa. Nilikutana na mama yake anasema mwanae anaogopa hata kurudi Tz sijui kwa nini. Ila inasemekana jamaa ni shoga kwa sasa.
Unazungukia madanguro yote nchi nzima,bado insta,telegram na app hizo zingine.kazi yako ni kula kushiba na kusaka mbususuunaweza hisi ni rahisi ila kugonga kila siku ni mziki mnene
alafu kuna ka nguvu ka kichawi lazima kawepo kukuchosha
Anamjua yule kiboko yake[emoji23]Alichofanyiwa UMUGHAKA na ally mpemba
Ni kweli ila who cares?Unapoambiwa nguvu za giza ni changamoto sana kutolea ufafanuzi,usemalo ni kweli ila vijana wengi wanaingia ktk mtego wa ulozi kwa uvivu au kutafuta short cut ya maisha,maisha ni mapambano na tuamini ktk kufanya kazi kwa bidii huku tukiweka mbele uaminifu kwa wanaotuzunguka
Jicho la chini mtandao pendwa, yupo apo congo anayo pesa mingi ila tangu azipate hataki kurudi makwao hata kusalimia.Jicho jicho au jicho la uku chn