Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Mbona kama umewaza mbali sana kwani hio ajali itasubiri hadi niume korodani yangu ndio itokee? tunatishana bhana!!!
Sio kuwaza mbali tatizo wewe sharti ulilochagua ndilo litakalokuja kuwa chanzo cha kuteteleka kwako au majuto yako,hv ulisoma ule mkasa wa Ally Mpemba wa ,UMUGHAKA ebu tizama yale masharti wewe ungeyaweza? Hauwezi kung'olewa pumbu then uwe unafanya kama kawaida never! Utakachotolewa ndicho wakati wa mafanikio yako kitakuwa kiu yako mfano leo unawaona watoto ni mzigo utakapokuwa na mali utawish ukae na wanao muinjoy life sasa kizalishio kishatolewa utafanyaje na hata km ulikuwa nao before ndio kinatengenezwa kibuyu unabaki mwenyewe na utajiri unakuwa pambo tu hauna furaha nao
 
Ukifanikiwa kidogo watu huwa wanaamua kukutengenezea stori ambayo hujawahi kuiishi
Hasa hizi biashara za usafirishaji huwa kuna changamoto nyingi sana unajitahidi uiweke gari kwenye hali nzuri na marekebisho ya mara kwa mara unafunga tairi mpya ila zinapasuka gari inaanguka inaua watu Unaambiwa umetoa kafara.

Unapambana had na madereva wako unawaambia hutaki gari zako zikimbie, zifate utaratibu na Sheria za barabarani hutaki ligi ila unakuja kusikia bus imegongana uso kwa uso na imeua watu 9 na wafanyakazi wote waliokua wamekaa mbele na chanzo Cha ajali ni Lori lililo overtake bila tahadhari ila stori itatengenezwa kuwa mmliki wa bus ndo umetoa kafara

Kweli kabisa. Kuna jamaa mmoja juzi pale tanga ajari imeua watu 20.ss anaandamwa kua katoa kafara
 
Sio kuwaza mbali tatizo wewe sharti ulilochagua ndilo litakalokuja kuwa chanzo cha kuteteleka kwako au majuto yako,hv ulisoma ule mkasa wa Ally Mpemba wa ,UMUGHAKA ebu tizama yale masharti wewe ungeyaweza? Hauwezi kung'olewa pumbu then uwe unafanya kama kawaida never! Utakachotolewa ndicho wakati wa mafanikio yako kitakuwa kiu yako mfano leo unawaona watoto ni mzigo utakapokuwa na mali utawish ukae na wanao muinjoy life sasa kizalishio kishatolewa utafanyaje na hata km ulikuwa nao before ndio kinatengenezwa kibuyu unabaki mwenyewe na utajiri unakuwa pambo tu hauna furaha nao
Ndo nilikua najaribu kumuelekeza ndugu yangu hawezi kushindana na ibilisi Kwa Hila😲😲
 
Hao ulionao hata kama ni 10 litatengenezwa tukio mfano mnaenda ktk tukio la lazima labda safari ya mkoani,kuzika,harusini au vyovyote vile linatengenezwa buyu tena unapumbazwa usiweke tahadhari hadi baada ya tukio
Wanateketea wote ili mradi wewe uishi Kwa msoto usifurahie Mali zako
 
Tembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja[emoji3] neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.

[emoji117]Utajiri wa Shilingi: Hapa unapewa coin inakuwa inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo) hapa utaanza na kafara za kuku mwisho damu itahitajila

[emoji117]Utajiri wa nyoka: Hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara

[emoji117]Utajiri wa kafara: Huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova. Au mtu anafunga ofisi au taasisi halafu watumishi ndo wanateketea.

[emoji117]Utajiri wa kidonda: Hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.

[emoji117]Utajiri wa kupunguzwa nguvu: Hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi, unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.

[emoji117]Misukule: Hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba

[emoji117]Utajiri wa punje: Hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri

[emoji117]Utajiri wa Chuma ulete: Huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka[emoji1787][emoji1787].

[emoji117]Utajiri wa kafara ya ndugu wa damu unaempenda: Hapa utake utamtoa usitake utamtoa ama ufe wewe[emoji3][emoji3] ibilisi anakuchagulia

Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri.

Nawasilisha.
Hayo yote uliyoyaandika hapo umesimuliwa , hakuna hata moja ulilolishuhudia kwa macho yako
 
Back
Top Bottom