Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Kuna moja wanatumia kule msumbiji unapewa kijiti unakiweka kwenye mfuko wa kushoto wa shati au suruali kazi yako kila siku uwe unagonga demu mmoja mpya(note: usirudie kufanya mapenzi na mwanamke mmoja) kadiri unavyofanya mapenzi na wanawake wapya kila siku ndivyo utajiri wako unavyokuwa na kuimarika.. hii dunia ni jehanamu sometimess
Hii sio msumbiji tu ata mbeya upo sema unaweka mfukoni ichokijiti af kunumuda kinapata motovibaya mnoo apo ndo wateja wanafulika mihela chekwachekwa,ila huo moto ndo utakoma
 
Watoto wangu wanahusika nini si umesema kiungo kinapungua nguvu tu kuna kitu ulinificha, kuwa muwazi bwashee
Yaani linatokea lakutokea mfano familia mnaenda outing mnapata ajali wote wanafamilia wanakufa unabaki wewe na mali zako na pumbu ushaitoa it means ghala la mbegu lishatoboka so mali zote zinakuwa hazina mrithi,ndio alichomaanisha
 
Mie naomba unipe connection ya utajiri wa kupunguza nguvu. Nipo tayari kuwapa pumbu yangu moja...mtu mwenyewe mie nikitomba sana dakika mbili so wanaweza ichukua hiyo moja nibaki moja ni mzee wa dakika moja baadala ya dakika mbili
Tako 3 tu walete[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pesa ya masharti huwa haina raha, nna jamaa yangu yupo DRC alishanishirikisha maswala hayo sharti ni kutoa jicho, nikakataa. Nilikutana na mama yake anasema mwanae anaogopa hata kurudi Tz sijui kwa nini. Ila inasemekana jamaa ni shoga kwa sasa.
Music industry kwa ujumla.
Ukianzia mambele tena wanawekaga wazi kwenye lyrics zao na Huwa hatustuki.
Mfano Eminem akimpitia demu hawi mzima anaenda kuwa lesbian na hii ni Moja ya SadakA yaan kumjoin mtu kwenye ushetani
 
Kuna moja wanatumia kule msumbiji unapewa kijiti unakiweka kwenye mfuko wa kushoto wa shati au suruali kazi yako kila siku uwe unagonga demu mmoja mpya(note: usirudie kufanya mapenzi na mwanamke mmoja) kadiri unavyofanya mapenzi na wanawake wapya kila siku ndivyo utajiri wako unavyokuwa na kuimarika.. hii dunia ni jehanamu sometimess
Hii imenivutia nipe nondo zaid
 
Music industry kwa ujumla.
Ukianzia mambele tena wanawekaga wazi kwenye lyrics zao na Huwa hatustuki.
Mfano Eminem akimpitia demu hawi mzima anaenda kuwa lesbian na hii ni Moja ya SadakA yaan kumjoin mtu kwenye ushetani
Aisee nilikua sijui, kwahiyo demu akishapitiwa tu anakuwa msagaji baada ya hapo.?
 
Nishakimbia mda,imebaki tu salamu tena akinikumbuka yeye,japo huwa namuonea huruma tu maisha aliochagua maana nilikuwa na mkubali sanaaa ni Gentleman.
Kula raha maisgja mafupi kwani aliyewekewa masharti ni wewe? Peleka idea zako za kibiashara upate uwezeshwaji ili kesho na keshokutwa akishushwa uwe unampiga tafu,sidhani km hayo masharti yake asipoyatekeleza km yana impact hadi kwa aliowawezesha na km ingekuwa hivyo wale matajiri waliopata kwa njia hyo watoto wao waliowasomesha shule bora elimu yao ingefutika vichwani mwao,omba upigwe jeki laana ni yake
 
Yaani linatokea lakutokea mfano familia mnaenda outing mnapata ajali wote wanafamilia wanakufa unabaki wewe na mali zako na pumbu ushaitoa it means ghala la mbegu lishatoboka so mali zote zinakuwa hazina mrithi,ndio alichomaanisha
Mbona kama umewaza mbali sana kwani hio ajali itasubiri hadi niume korodani yangu ndio itokee? tunatishana bhana!!!
 
Mimi toka nitake shortcut nikajikuta nimeharibu kila kitu,mpaka sasa sitaki shortcut

Niliamin kabisa maisha hayana shortcut

Hata kama utatumia shortcut,kumbuka kuna siku itafika utalazimika kutumia njia halali ambayo ni ndefu
 
Hii sio msumbiji tu ata mbeya upo sema unaweka mfukoni ichokijiti af kunumuda kinapata motovibaya mnoo apo ndo wateja wanafulika mihela chekwachekwa,ila huo moto ndo utakoma
Kah kume Kuna mengi ya kujifunza kwenye huu Uzi🤣🤣
 
Back
Top Bottom