Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Unazungukia madanguro yote nchi nzima,bado insta,telegram na app hizo zingine.kazi yako ni kula kushiba na kusaka mbususu
Hapo inabidi uwe nao unawafuga ndani stock hata ya miezi miwili, ukipiga ndio anasepa mazima anarudi kwao.
 
Kunajamaa amegangwa apate hela. Hela kweli anazo sana ana maduka lukuki.

Alipewa kizaazaa maana kila alhamisi lazima apoteze faham kama mtu mwenye kifafa na mpaka ajimwagie mbolea ndio anaamka
Sasa hayo mambo ya kujimwagia kubwa ili upate hela mnayaonaje jamani?
 
Marko 8:36
 
Hii noma
 
🥲🥲🥲
Yaani ajinyee sio
 
Hahahahaha balaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Hii kubwa kuliko 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeshawahi ona supermarket kuna chumaulete?
Mkuu amini usiamini hadi mabenki huwa wanachukuliwa Fedha kimiujiza (fedha ambazo bado ziko counter) ushuhuda ninao zaidi ya mmoja sema huwa wanaficha sana ili kutokuondoa imani kwa wateja ila kaa kwa utulivu na kwa umakini kama una ndugu yako Ambaye ana cheo maeneo hayo na anakuamini kutunza siri atakuambia ila huwa ni siri kubwa.

Kuna taasisi za fedha huwa wanahesabu fedha taslim dirishani na kutoa hesabu kamili na risiti lakini ikifika jion shoti inaonekana....

Na ma security camera yao hayanasi kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…