Uchawi wa nyoka msumbiji unapewa nyoka unarudi nae ila anakaa km mfuko tu yaani uvunguni kwa kitanda,ukitaka kumtuma unachukua dawa unamwagia then anaenda kuleta pesa akiondoka Sasa huko anakaa ht siku tatu au wiki masharti siku anarudi Kuna ishara unapewa unatakiwa uandae uji wa sembe uweke kwenye chungu afu ukae mlangoni mwa chumbani kwako anakokaa uchi wa mnyama na uwe peke Yako ndani,akifkia anapita katikati ya miguu Yako anaenda kunywa uji Woote afu anaanza kutapika pesa zooote ,ikisha anarudi kua mfuko