platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
hivi joto lote hili mtu anavaa nguo za nini? mchana kwenyewe nimeamua kupunguza baadhi ya mavazi ili niwe huru na kupata upepo
Unaweza kuwasaidia wanawake wenzako ni aina gani ya mavazi uliyopunguza?