Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

Duu taasisi ya usingizi.? Ni taasisi binafsi au ya serikali?
 
kulala uchi safi sana .. ila kwa mwanaume duh sishauri

Kwa wewe inafaa, na nakushauri.. Ila kwa Mimi Haitokaa itokee na nafata ushauri ushauri wako.

Dume zima na kamili huwezi lala bila bukta au boxer.
 
nikiingia kuoga usiku au jioni huwa sivai hata kanga, nakula uchi, naswaki, najitupia kitandani uchi uchi

Hahahaah ! nimecheka ulichokiandika Tina maana nimepata picha loh hataree
 
Duh......mimi hapana ukikurupushwa vaa hata nyepesi ndg yangu utaja umbuka...
 
Hahahaahahahahaaaaaaa umenikumbusha mbali sana nilipopewa semina ya kulala uchi


ila ni hatari endapo majambazi yatavamia na kukukuta ukiwa huna nguo hata moja wanaweza kubadili zoezi la kuiba na kuingia kwenye zoezi lingine.
La kubaka
 
Mi sijawahi kulala uchi na haitatokea yaani sijui naonaje onaje,hizo faida wacha nizikose tu.usisahau kutaja na hasara

Yote kwa yote huko kulala na mkeo au mwanadada kulala uchi kabisa wa mnyama ukisubiria hizo faida nasema labda kwa maraisi wanaolindwa na kikosi kizima cha wanajeshi wa silaha. Uswahilini ujajaribu mchezo huo ambako majambazi ni asubuhi,mchana na jioni kama dose ya dawa wakufikie mkeo au binti upo uchi hakika utajuta. Yaani mtashughulikiwa wote na tena kwa zamu hadi wachoke. Jaribuni na msiache kutuletea mrejesho hapa hapa jamvini.
 
Kulala uchi muhimu esp Mashuka yakiwa masafi, yaani u feel relaxed na unaamka poa sana
 
Kulala uchi? Nikimaliza mambo yangu lazima nivae pajama, night dress ni kabla ya kuamua kulala.
 
hivi joto lote hili mtu anavaa nguo za nini? mchana kwenyewe nimeamua kupunguza baadhi ya mavazi ili niwe huru na kupata upepo
 
Back
Top Bottom