Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa mie nimeolewa kwani...
Wacha usiku kupigwe hewa bana....
kulala uchi safi sana .. ila kwa mwanaume duh sishauri
Hah ha ha...poa kabisa. Salama? Kuna sehemu nimekukuta na hapa nimekukuta pia.
Hehe salama kabisa...si unajua wikendi na akili zinakua za kiwikiendi tu....
hahha we mwakani humalizi, maana maombi nayopokea yanazid kuongezeka... so najua unachukua experience sa hizi
Una maana tano au.....bold. Pia hata ushauri wa kuvaa haishauriwi kuvaa nguo ya kubana mwili.
Tamatheo;
Usifikiri kama natania. Nunua kudu uifungie tena juu. Wakija wapoteze muda uwe umepiga kelele watu wa msaadamwaje kabla hawajaku nanihiino. Mambo ya washauri wa kidhungu achana nao. Sisi tunakupa ushauri wa kikwetu ili ulingane na mazingira
kwahyo kwa mazingira ya uswahilini haifai eeeh?
Hats wanga wa usiku hawakusogelei kama umelala uchi
ulalaji wa kutovaa chochote ndio style yangu.ila sometimes naghairi ninapo sikia wizi wa majumbani nyakati za usiku umeingia mtaani kwetu(kwa sisi wa uswahilini).
huwa nalala na bukta ili Iwe rahisi kukurupuka toka kitandani kwenda kuchungulia anaye chokora chokora sebuleni.
Kaka umenifanya nicheke kwa sauti huku kanisani almanusura chupa yangu ya bia ianguke
Mi sijawahi kulala uchi na haitatokea yaani sijui naonaje onaje,hizo faida wacha nizikose tu.usisahau kutaja na hasara