Bennie 369
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 713
- 534
- Thread starter
- #21
Aise wanadamu tunapishana sana akili, wengine wanawaza kupiga pesa ndefu kila siku lakini kumbe kuna wengine wanawaza mambo ya kulala uchi kama mbwa!!!
Labda wa Dar na Sudan. Hivi Arusha, Lushoto, Mbeya, Njombe, Makambako, Mafinga na maeneo baadhi ya Songea unawezaje kulala uchi?
1:wewe ulimuona wapi mbwa analala uchi?
2:nani alikuambia ukilala uchi hupigi hela ndefu?
NB: Hii sio amri kuwa lazima utii.