elementary
Member
- Jan 19, 2012
- 36
- 3
Mi sijawahi kulala uchi na haitatokea yaani sijui naonaje onaje,hizo faida wacha nizikose tu.usisahau kutaja na hasara
mkuu wewe ni mwanamke au mwanaume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sijawahi kulala uchi na haitatokea yaani sijui naonaje onaje,hizo faida wacha nizikose tu.usisahau kutaja na hasara
Hiyo ni kawaida Yangu sio muda wa kulala tu, nikiwa nyumbani napenda kukaa uchi
Hiyo ni kawaida Yangu sio muda wa kulala tu, nikiwa nyumbani napenda kukaa uchi
kulala uchi safi sana .. ila kwa mwanaume duh sishauri
uishie tu nikiwa nimebananisha miguuNikifumba macho km nakuona ulivyolala......
Kuanzia leo naoga uchi nalala uchi.Asante mkuu
Hii haitufai sisi tunaolala gheto na masela
uishie tu nikiwa nimebananisha miguu
Aisee..............................
safi sanaSafi sana mbona, door tu uitie lock 
Asikuwambie mtu mi binafsi na baridi huku tulio nayo ni naked tu kwenda mbele, nalala vizuri zaidi, nikiwa na nguo naonaga tafrani na kuamka ovyo ovyo.
Hahha wanalala uchi walioolewa, mi ntaanzia wap... we si ushazoea 😊😊
Hahahaa mie nimeolewa kwani...
Wacha usiku kupigwe hewa bana....