Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

Aise wanadamu tunapishana sana akili, wengine wanawaza kupiga pesa ndefu kila siku lakini kumbe kuna wengine wanawaza mambo ya kulala uchi kama mbwa!!!
Labda wa Dar na Sudan. Hivi Arusha, Lushoto, Mbeya, Njombe, Makambako, Mafinga na maeneo baadhi ya Songea unawezaje kulala uchi?

huyu anatuletea mambo ya kusadikika hapa bila shaka atakuwa popobawa huyu
 
Aise wanadamu tunapishana sana akili, wengine wanawaza kupiga pesa ndefu kila siku lakini kumbe kuna wengine wanawaza mambo ya kulala uchi kama mbwa!!!
Labda wa Dar na Sudan. Hivi Arusha, Lushoto, Mbeya, Njombe, Makambako, Mafinga na maeneo baadhi ya Songea unawezaje kulala uchi?
Ongeza huku Mfindi, Mkuu.
 
Hahaahah simuelewi huyu mjomba.
 
Hivi wenzetu mna guarantee gani na usiku? Sijui ka umewahi kumwona mtu aliyefumaniwa akiwa uchi? Inaleta hata huruma.
Usiku una mambo yake, ukivamiwa, nyumba ikiungua moto, mtoto akilia ghafla usiku tena kilio kikali ikiwa amepatwa jinamizi.
Ushauri wangu, huyo mshauri ni huko kwao, hata madirisha hayana grill. Hapa bongo usijaribu. Mdada vaa hata skin tight 5 usiku. Aheri utembee bila kufuli mchana kuiko kulala bila skin tight 5.
Kama ni mwanaume, usisahau bukta hata baada ya mechi. Za asubuhi utoe tuu
 
Kila jambo na umri wake sasa kwa sababu hatujatenganishwa naogopa kumwaga mchele penye kundi la njiwa, kuku, bata, bata mzinga, bata maji, kware...n.k
 
Hivi wenzetu mna guarantee gani na usiku? Sijui ka umewahi kumwona mtu aliyefumaniwa akiwa uchi? Inaleta hata huruma.
Usiku una mambo yake, ukivamiwa, nyumba ikiungua moto, mtoto akilia ghafla usiku tena kilio kikali ikiwa amepatwa jinamizi.
Ushauri wangu, huyo mshauri ni huko kwao, hata madirisha hayana grill. Hapa bongo usijaribu. Mdada vaa hata skin tight 5 usiku. Aheri utembee bila kufuli mchana kuiko kulala bila skin tight 5.
Kama ni mwanaume, usisahau bukta hata baada ya mechi. Za asubuhi utoe tuu
Una maana tano au.....bold. Pia hata ushauri wa kuvaa haishauriwi kuvaa nguo ya kubana mwili.
 
Kuanzia leo naoga uchi nalala uchi.Asante mkuu
 
Chalii angu mmoja aliwahi lewa Sana kiasi cha kushidwa kuja job. Sasa mie na bosi tukamfuatilia maana alikuwa na baadhi ya vifaa hitajika.

Tulipofika ilibidi nichungulie kwanza dirishani. Na alikuwa mtupu aibu yaani. Wa kibao akiwamo mama mwenye nyumba alikuwapo wakiwa na lengo la kuvunja mlango, ilibidi nitumie busara kuwaomba waondoke nibaki mwenyewe ili nivunje na kuyasitiri maungo yake.
dah mlisevu sana huyo
 
Ha ha ha ha hata ukiwa na nguo s wanajua hawaonekani wanakisevia tu
aah kama huna nguo ndo unawatamanisha hata kama walikuwa hawana mpango na wewe,naskia nao pia wana tamaa kama sisi
 
kulala uchi safi sana .. ila kwa mwanaume duh sishauri

Safi sana mbona, door tu uitie lock 😀😀
Asikuwambie mtu mi binafsi na baridi huku tulio nayo ni naked tu kwenda mbele, nalala vizuri zaidi, nikiwa na nguo naonaga tafrani na kuamka ovyo ovyo.
 
Aise wanadamu tunapishana sana akili, wengine wanawaza kupiga pesa ndefu kila siku lakini kumbe kuna wengine wanawaza mambo ya kulala uchi kama mbwa!!!
Labda wa Dar na Sudan. Hivi Arusha, Lushoto, Mbeya, Njombe, Makambako, Mafinga na maeneo baadhi ya Songea unawezaje kulala uchi?

Ukishakuwa na duvet tu basi..
 
nikiingia kuoga usiku au jioni huwa sivai hata kanga, nakula uchi, naswaki, najitupia kitandani uchi uchi
 
ukiwa wewe na mwenzi wako, tena sio chumbani tuu,,,, nyumba yote kwa ndani mnazunguka uchi tuuu....shida iko wapi?....hizi kende zinatakiwa ziwe free sometime.
 
Back
Top Bottom