hivi joto lote hili mtu anavaa nguo za nini? mchana kwenyewe nimeamua kupunguza baadhi ya mavazi ili niwe huru na kupata upepo
Daaaaah, aiseeee we jamaaa unachekesha, jumlisha na baridi ya kigoma majira ya kiangaziAise wanadamu tunapishana sana akili, wengine wanawaza kupiga pesa ndefu kila siku lakini kumbe kuna wengine wanawaza mambo ya kulala uchi kama mbwa!!!
Labda wa Dar na Sudan. Hivi Arusha, Lushoto, Mbeya, Njombe, Makambako, Mafinga na maeneo baadhi ya Songea unawezaje kulala uchi?
Kipindi nipo shule fulani ya bweni chalinze mara nyingi tulikua tunaenda kununua maji nyumba flani ile nyumba ilkua ina wadada wanashinda uchi ukienda kugonga wanakuja uchi hadi wakuone ndo wanafata kanga
Yani kazi yangu ilkua kuteka maji na kuyamwaga ili niende kuchukua mengine