Zijue Faida za kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani

Asanteee! (Kwa sauti ya Zungu-naibu spika)
 
sijaipenda kabisa hoja yako namba tisa.. Inayowadhalilisha wanawake na kuwatweza utu wao kwa kuonyesha kuwa hawawezi kupata nafasi pasipo kuuza utu wao.
Naunga mkono hoja hii, na kulaani vikali sana point hiyo ya udhalilishaji,

ni vizuri akaomba radhi kwa wanawake wote humu jukwaani,
Duh,
Ila nyie chawa waandamizi ni wanafiki wakubwa mnoo.

Hivi kati ya kuiba kura + kuteka na kuua watu kwa ajili ya kujipatia madaraka kwa hila, na hilo la kukubaliana na mwanamke na kumla (kwa hiari yake) ipi ni dhambi kubwa zaidi?!
 
Hajielewi huyo anatumikaga kama TP
 
Ukiondoa namba 7 mengine ni ujinga tu umeongea
 
Unapata nafasi ya kutengeneza mazingira ya kushinda uenyekiti kila baada ya miaka 5. Hivyo unaweza kuwa mwenyikiti wa kudumu mpaka viongozi na wanachama wenzako wakakuchoka
 
Duh,
Ila nyie chawa waandamizi ni wanafiki wakubwa mnoo.

Hivi kati ya kuiba kura + kuteka na kuua watu kwa ajili ya kujipatia madaraka kwa hila, na hilo la kukubaliana na mwanamke na kumla (kwa hiari yake) ipi ni dhambi kubwa zaidi?!
andikia uzi mahususi upate maelezo mahususi ya mihemko yako gentleman πŸ’
 
Sasa mnavyompigia kelele mbowe aondoke hizo faina amuachie nani?

Weka na za upande wa pili!
 
Nadhani alichokiandika ni sahihi kabisa, hajadhalilisha ila ameandika uhalisia ulivyo kwenye vyama vya siasa
 
Kwa hali hii Mbowe hawezi KUCHOMOKA CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…