britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #41
Exactly..kuna jamaa wa CCM kule Znz alikuwa anachukua rushwa ya kuwalisha kina mama koni ili wapate nafasi viti maalum.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly..kuna jamaa wa CCM kule Znz alikuwa anachukua rushwa ya kuwalisha kina mama koni ili wapate nafasi viti maalum.
Asanteee! (Kwa sauti ya Zungu-naibu spika)Hujaelewa point au Rejea Tena !
Pale UVCCM hata balozi fulan amewai waahidi wanawake nafasi viti maalumu alafu akawacharaza horizontal engineering!
Huko CHADEMA ndo usiseme kabisaaaaaaaaaaaa!! Kabisaaaa hao Covid 19 wote wanaingia BILA kufuata utaratibu!!!
akina Mukya wote!
Na asilimia 80% ya wanawake viti maalumu Bungeni wamekuwa horizontally engineered
Au mnataka tuwavue watu nguo kabisa hapa ?
Britanicca
sijaipenda kabisa hoja yako namba tisa.. Inayowadhalilisha wanawake na kuwatweza utu wao kwa kuonyesha kuwa hawawezi kupata nafasi pasipo kuuza utu wao.
Duh,Naunga mkono hoja hii, na kulaani vikali sana point hiyo ya udhalilishaji,
ni vizuri akaomba radhi kwa wanawake wote humu jukwaani,
Hajielewi huyo anatumikaga kama TPDuh,
Ila nyie chawa waandamizi ni wanafiki wakubwa mnoo.
Hivi kati ya kuiba kura + kuteka na kuua watu kwa ajili ya kujipatia madaraka kwa hila, na hilo la kukubaliana na mwanamke na kumla (kwa hiari yake) ipi ni dhambi kubwa zaidi?!
andikia uzi mahususi upate maelezo mahususi ya mihemko yako gentleman 🐒Duh,
Ila nyie chawa waandamizi ni wanafiki wakubwa mnoo.
Hivi kati ya kuiba kura + kuteka na kuua watu kwa ajili ya kujipatia madaraka kwa hila, na hilo la kukubaliana na mwanamke na kumla (kwa hiari yake) ipi ni dhambi kubwa zaidi?!
Dogo,andikia uzi mahususi upate maelezo mahususi ya mihemko yako gentleman 🐒
zingatia hoja mahususi mezani sio unaleta mautopolo na makolo yako mengine hapa, alaaa!🐒Dogo,
Hujajibu swali
Kwa hiyo unataka ukiongopa uachwe tu, usipigwe pini?!!zingatia hoja mahususi mezani sio unaleta mautopolo na makolo yako mengine hapa, alaaa!🐒
Sasa mnavyompigia kelele mbowe aondoke hizo faina amuachie nani?Kwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo,
Ila utashangaa kwanini baadhi wanakomalia madarakani?
Faida za kuwa mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania ni Kama ifuatavyo
1. Ruzuku kwa vyama vya upinzani ambazo haziwi audited
2. Unaweza panga nani awe fulan kwenye sehemu ya uwakilishi ndani ya BUNGE ama SERIKALI endapo Mtawala atataka kubalance mambo
3. Misaada kimataifa ya kutoka vyaka vya upinzani wa nchi nyinginezo zinazotoa zikidhani hata Tanzania vyama viko serious
4. Kupata platform kimataifa na kumulikwa Kwakuwa inakuwa uko kama icon ya kundi la watu fulani.
5. Ni rahisi kupata connection za kufanya biashara kimataifa na watu
6. Unakuwa na kupewa kipaumbele kwenye huduma mbali mbali , kitaifa na kimataifa
7. Unapata passport ya diplomat
8. Unaweza unda kamati Yako ya kukikopesha chama hata kwa riba kubwa sana na ukajipatia kwa urahisi mali.
9. Kwa wanaume tunajua tuna matamanio na jinsia ya KE, Kwahiyo unakuwa na access ya kupata Toto unayetaka kwa kumuahidi cheo!
10. Una access ya ku I black mail serikali na ukapewa mchuzi ukanyamaza
11. Watoto wako na familia yako wanapewa vipaumbele kwenye Taasisi mbali mbali
HIVO AKINA LIPUMBA WALIOKAA MIAKA 20 SI WAJINGA HASA KWA TANZANIA AMBAYO BADO IMELALA
Britanicca
Nadhani alichokiandika ni sahihi kabisa, hajadhalilisha ila ameandika uhalisia ulivyo kwenye vyama vya siasaAsante kwa hoja yako ila sijaipenda kabisa hoja yako namba tisa.. Inayowadhalilisha wanawake na kuwatweza utu wao kwa kuonyesha kuwa hawawezi kupata nafasi pasipo kuuza utu wao.
Hoja hiyo imekushushia heshima na umejishushia sana heshima. Sipendi na ninamchukia sana mtu mwenye mawazo na akili au fikira za udhalilishaji na kuwatweza wanawake.ninawaheshimu sana wanawake na kuwakubali uwezo wao kiuongozi na umakini wao katika kazi na majukumu.
Hoja yako hiyo ya kidhalilishaji inawakatisha tamaa hata watoto wako Mwenyewe wa kike kwa kuwaza kuwa mwanamke hawezi kupata nafasi bila kuuza utu wake hata kama ana uwezo,Karama na kibali cha uongozi.ilihali siyo kweli kwa sababu wote ni mashahidi wa namna wanawake walivyo na uwezo mkubwa kiuongozi na Sote tumeshuhudia namna walivyofanya vizuri katika nafasi mbalimbali walizoshika hapa Nchini.
Nilikuwa nafikiria labda wewe ni mtu makini lakini naona sikuwa sahihi kabisa.futa hoja hiyo yenye kuwadhalilisha mama zetu na wanawake wote.
Tundu Lissu hawezi sahaulika huyu jamaa ni moto na ana akili sana.na mnakwenda kumsahau Tundu Lisu muda si mrefu, hususan kabla ya pasaka2025, mtaanza zoezi hilo muhimu 🐒
Naam, umenenaZaidi ya kuwabadirisha barisha Wakurugenzi hakuna jipya jingine.
Ruangwa kwema mkuu?
Kwa hali hii Mbowe hawezi KUCHOMOKA CDMKwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo,