Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Heeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro ungejua huyo uliemuita ni mwanaume ungeshangaa sana. Acha nikuache
Sasa kuna mwenye matarajio ya kupata bora mke😄We oa mke mwema allyetoka kwa BWANA hapo hakutakuwa na shida, utapenda milo yake na utakuwa na afya bora.
Sikushangai kwa mtazamo wako unaweza kumpa jinsia uitakayo awe me ama ke ila ndiyo minogesho ya jf ilivyo 😂Bro ungejua huyo uliemuita ni mwanaume ungeshangaa sana. Acha nikuache
Itategeneana na umakini ama ukurupukaji wakati wa kuchaguaSasa kuna mwenye matarajio ya kupata bora mke😄
Na umemwamini huyo Chaliifrancisco?Heeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Joannah ni mwanaume!??
Sikujua kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka maana namjua so nashangaa kusikia kawa mwanaume[emoji1][emoji1]Na umemwamini huyo Chaliifrancisco?
Huyo Chaliifrancisco katupa jiwe gizani ili kuwatisha wadau wasimchumbie Joannah 😂Nimecheka maana namjua so nashangaa kusikia kawa mwanaume[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakupinga nakwambiaaaFaida za kuwa na mke ni nyingi sana.
Nakala ya 2023 ya Ufadhili wa Utafiti wa Afya (HRF) ilionyesha kuwa wanaume walioowa wanaishi miaka 17 zaidi ya wanaume wasio na wenzi.
Wanaume wasiowa hawako salama kiafya kwa sababu wanakabiliwa na ulaji chakula kisicho bora, ulevi wa kupindukia, uzinzi na uasherati na tabia zingine hatari.
Utafiti mwingine wa 2023 wa wanaume 6,800 wenye umri wa kati ya miaka 45 na 84 uliofanywa na Chuo cha Marekani cha Cardiology ulionyesha kuwa wanaume waseja wana uwezekano mara mbili wa kukumbwa na mfadhaiko na kushindwa kwa moyo.
Faida iliyo kuu ya kuoa ni hii, "mkeo atakulinda na watu wanaokutumia vibaya. Atalinda sifa yako. Atakufanya uheshimike zaidi".
Na kuna upendeleo maalum kutoka kwa Mungu kwa yeye apataye mke (Mithali 18:22).
Kwa ujumla, wanaume wanapoowa, huwa wanafanya vyema maishani. Ndiyo maana Mungu anawaonya wanaume wasimsahau mke wa ujana wao ambaye aliwasaidia kusimama kwa miguu yao (Mal 2:14-16).
Kwa nini upige punyeto wakati Mungu amekuumbia mwenzako kwa kazi bora ya kibinadamu?
Biblia inasema ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa (1Kor 7:9). Jipatie msichana mzuri, hata kama ni ni 'lishangazi' we oa tu utaenjoy maisha marefu. Wekeza kwenye ndoa yako.
NB : wale team kataa ndoa wengi wao wana matatizo ya afya ya akili, usisikilize ufyatu wao.
Pata mke ufurahie uumbaji wa Mungu.
#Wanawake msome comments tu za wanaume, comments zenu hazihitajiki kwa huu uzi.
Barikiwa.
Na wameshapinga 😂Watakupinga nakwambiaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilidhani nimeyasikia yote hapa duniani kumbe bado aiseeHeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Joannah ni mwanaume!??
Sikujua kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa humu ni kiboko [emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilidhani nimeyasikia yote hapa duniani kumbe bado aisee
Nahisi pigo zangu za kidumedume🤣🤣🤣Watu wa humu ni kiboko [emoji38][emoji38]
Umemfanya nini hadi aseme we kidume
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment za kibabe unatarajia nini sasa[emoji1][emoji1]Nahisi pigo zangu za kidumedume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akajua ni mwamba🤣🤣🤣 dadadek
Kuna uhusiano wa kuwa na mke na kuwa tajiri?Unafaham kuwa matajiri wakubwa duniani hawana wake?
Fungua Masikio zaidi ngoma utaiskia wapi inapigwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilidhani nimeyasikia yote hapa duniani kumbe bado aisee
Hakuna.Kuna uhusiano wa kuwa na mke na kuwa tajiri?
Ainisha apaHakuna.
Fabian umenisakama wiki hii😁😁😁Fungua Masikio zaidi ngoma utaiskia wapi inapigwa