Zijue faida za kuwa na mke

Apataye Mke amepata kitu chema
 
Points nyepesi sana hizi. Huwezi mshawishi mtu kuona na vipoint hivi
 
Nimeishia hapo ulipoandika miaka 17 zaidi. Hivi wewe mleta uzi unatuchukulia vipi kwanza? [emoji848]

Yaani mwanaume aliyeoa amzidi senior bachelor umri wa kuishi hebu kuwa serious na maisha.

Ngoja nisome tena kidogo ukinikera tena naacha.
 
Huo utafiti urudiwe kwenye mitaa anayoishi Drone Drake. Na pia wafanyie utafiti wanaume wote waliooa wameru na wamachame. Wanaume waliooa ndo hukimbizana sana na papuchi kuliko mabachela. Binafsi sijaoa ila nimekuwa nikikutana na jamaa zangu wengi wakiwa katika hali za taharuki kisa ndoa. Mimi huwa natoa sana ushauri kwa jamaa zangu waliooa. Yaani wana shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…