Zijue Hasara 30 za Matusi(Kutukana)

Afu kweli,nilimshushia furushi la matusi jirani yangu na baada ya hapo nikajihisi mwepesi ila nililala polisi siku mbili[emoji28][emoji28]
 
Setfree
Swearing ni kuapa sio, ila swearing pia ni kutukana.
Insults halina uzito kama swearing.
Kuapa na kutukana yote ni makosa kwa mujibu wa biblia.
Lakini ni kama kuapa kumehalalishwa hadi kiserikali. Kama nakosea nirekebishe Apostle!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…