Vice J
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 530
- 766
๐๐๐๐Matusi huzuia uzembe kazini, Wafanyakazi wa Tanesco wanasema wasipotukana umeme hautapita kwenye laini mpya wanayojenga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Matusi huzuia uzembe kazini, Wafanyakazi wa Tanesco wanasema wasipotukana umeme hautapita kwenye laini mpya wanayojenga!
Si lazima kila jambo liwe na faida. Kuua, au kudhuru mwili kuna faida ganiFaida zake ni zipi kwa maana kila jambo lina faida na hasara zake..
Relaxation? Matusi may feel like a release, but they escalate tension and lead to regret. True relaxation comes from resolving conflicts peacefully.Relaxation
Kujiamini
Relaxation? Matusi may feel like a release, but they escalate tension and lead to regret. True relaxation comes from resolving conflicts peacefully.
Kujiamini? Matusi hayajengi true confidence; they often mask insecurity. Genuine confidence is shown through respect and understanding, not tearing others down.
Ajabu ni kwamba anayetukana hapendi kutukanwa. Biblia imasema jambo usilopenda kutendewa usimtendee mwrnzakoHIZI HAPA FAIDA ZA MATUSI
1)Hutumika kama kivumishi cha sifa.. Examle Yule demu ni mkali ki***nge
2)Huonesha hisia na hali ya kiafya ya mtu kama hasira, furaha, uchovu n.k Examle Unahisi sisi ni maroboti siyo kum****ke, beba na wewe hizo sement
3)Matushi ni burudani kwa watu wengne. wapo watu wanapenda kutukana ama kusikia wengine wakitukanwa
Ninapomtaja Yesu sina lengo la kuonyesha udini. Naeleza uzoefu nilio nao. Fuatilia nyuzi zangu utagundua nimetukanwa sana humu, lakini kamwe sirudishi matusi. Uwezo huo wa kuuzuia ulimi usitamke matusi ni Yesu amenipa. Kabla sijampokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wangu, sikuweza kuuzuia ulimi. Mtu akinitukana na mimi namrudishia tusi zito zaidi. Sasa hivi nooooo, Yesu ananipa uwezo wa kushinda dhambi hiyo na nyingine nyingi, ndio maana nasema kwa ujasiri: Yesu ni zaidi ya Nabii.Andiko zuri sana lakini kwa faida ya wanaojua YESU ni nabii umeharibu sana Usiwe unaonyesha udini.
Duh, ukiwa faragha ruksa kutukana? Mungu anaona na anasikia hata maneno tunayoongea faraghani. Maisha ya dunia hii yana mwisho; tujitakase tusiyakose maisha yajayoKutukana ni kuzuri kwa afya ya akili lakini sio vizuri kutukana hadharani hususan kwa kiongozi wa umma.
Ukiwa faragha na mweza wako pia sio jambo baya sana..
Tutukane ili kuondoa hasira..Duh, ukiwa faragha ruksa kutukana? Mungu anaona na anasikia hata maneno tunayoongea faraghani. Maisha ya dunia hii yana mwisho; tujitakase tusiyakose maisha yajayo
Faida ya kuua ni kupunguza idadi ya watu na kuongezea fursa ya ajira. Mfano kuuza majeneza, mfanyakazi wa TCRA akifa, fursa za ajira zinatangazwa.Si lazima kila jambo liwe na faida. Kuua, au kudhuru mwili kuna faida gani
Wakipandisha zile nguzo huwa wanaporomosha sana matusi wale majamaa aisee. Tena ya nguoni..Matusi huzuia uzembe kazini, Wafanyakazi wa Tanesco wanasema wasipotukana umeme hautapita kwenye laini mpya wanayojenga!
Ego massaging..Kulisha ego.
Wadau wamezitaja tayari..Mimi sijui labda wewe uzitaje
ukistop kuvuta shisha mixier na ugoro hutawaza tena hivyo gentleman,View attachment 3196864
Mimi Kama muuza uduvi bado nawaza haya matusi ya nguoni yalimtokaje Malaika wa Mbingu ya Lumumba ?
Mungu alisema "zaeni mkaongezeke, mkaijaze dunia," dunia haijajaa, wewe unapunguza tena watu!Faida ya kuua ni kupunguza idadi ya watu na kuongezea fursa ya ajira. Mfano kuuza majeneza, mfanyakazi wa TCRA akifa, fursa za ajira zinatangazwa.
Faidha ya kumdhuru mwili ni kwamba, dispensary na pharmacy zinauza dawa na serikali inapata Kodi..