Zijue hoe phase, panic phase na toxic phase katika lifecycle ya mwanamke wa kisasa

Wanaume mara nyingi huwa tunachelewa kuanza mapenzi ukilinganisha na wanawake. Binti wa miaka 13-14 tayari ashaanza mapenzi ila kwa wavulana wa age iyo bado.

kwa upande wa wanaume uko kwenye kubalehe wanamaliza haja zao kwa kujichua. Wengi huwa wanaanza mapenzi kwenye 18 kipindi ambacho sio rahisi kumkuta binti bikira. Wapo wanaume wengi tu mpaka wanaingia 30's hawajawahi kukukutana na mwanamke bikira.
 
Mkuu mwenye miaka 37 anakuwa kwenye level gani ya toxicity? Nimekutana na mmoja ana huo umri na hana mtoto akawa mkali kwangu kuwa nisipompotezee muda hayuko kulazimisha mambo. Nikatemana naye.
Una uhakika hana mtoto? Huo umri huwa wanaishi na trauma, sio rahisi kutengeneza nae bond kwa sababu wakati wote mtakaokua pamoja anakuangalia kama suspect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…