Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Aaahyaaah ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈUpo we pisi kali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaahyaaah ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈUpo we pisi kali!
Kitu kizuri kula na nduguzoAaahyaaah ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ
HahahahHuyo jadda@ mpenz ulinae ana shida sana mm siwez kukaa na wewe hata Kwa sekunde huyo jamaa anateseka mno
Huyo jadda@ mpenz ulinae ana shida sana mm siwez kukaa na wewe hata Kwa sekunde huyo jamaa anateseka mno
Aaaah weehKitu kizuri kula na nduguzo
Hahaha nakuzingua tuAaaah weeh
Hivi hiyo avatar ni nyoka au nini?Aaahyaaah ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ ππ»ββ‘οΈ
Huyo jamaa kakamata bonge la samaki aina ya Fulani hivi inataka ifanane na nyokaaHivi hiyo avatar ni nyoka au nini?
OkHuyo jamaa kakamata bonge la samaki aina ya Fulani hivi inataka ifanane na nyokaa
Mkuu sasa huyu wangu nimrudishe ama? NishajichanganyaMy brothers, listen to me very careful. The modern woman who follows this path will target you as her last option after the streets damage her. Don't be her retirement plan. You were made for the fresh, not for left overs
1/1000 tena mitalaafadhali'..hivi mtoa mada una habari Hamisa kaolewa na Aziz??
Truewanawake ukiwaheshimu wanakuona fala
Kila siku tunakutana na hizi hiziπ€£π€£
Umemjibu kisomi sana. Sijui kama ataelewa hiliJadda akili yako ipo sawa kweli? kwamba ukitombeshe ubaki kuwa single mother na trauma kibao halafu ateseke mwanaume ambaye hata hakujui.! Are you normal?
Suala la vigezo vya thamani ya mwanaume na mwanamke sio social constract iyo ni nature. Soko la mwanamke wa under 25 kwenye dating pool hauwezi kulinganisha na soko la mwanamke wa 33+.
Izo feminism na 50/50 ndio social constracts kwa sababu application yake ni mpaka zifanyiwe promotion na ziwekewe sheria, haziji naturaly kutokana na insticts za kibinadamu
You nailed it bro πThe modern woman who follows this path will target you as her last option after the streets damage her. Don't be her retirement plan. You were made for the fresh, not for left overs
Duuh,
Kuna wakati akili inakuwa driven na emotions hasa kwa sisi wanaume kipindi Cha kuivuka balehe ukilala usiku ni mwendo wa hot dreams tu shuleni unakifikiria ki maria Cha form 2 Hadi unamaliza form4 umeshiriki kwenye kuwabikiri baadhi kipindi Cha kutafuta wa kumuoa hutaki leftovers?Hii ni trend ya maisha ambayo wanawake wa kisasa wameichagua, ni timeline ya chaos, delusions na entitlements zao ambazo zina-influence maamuzi yao.
HOE PHASE
12-15: Hapa anaanza mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wenzake shuleni au mtaani. Mara nyingi ndio kipindi ambacho anatolewa bikira.
16-18; Hapa anaanza kuwapiga chini wale boys wa age yake kwa sababu anaona hao sio hadhi yale tena. Hao boys atawaweka tu kwenye cycle yake kwa ajiri ya kumsaidia kimasomo darasani. Hapa anajiwekea standard za juu sio kutokana na character yake bali kutokana na delusions. Wengi hapa huwa wanachakatwa na bodaboda na kupewa vijisent kidogo na lift.
19-20: Hapa sasa ego yake inakua kwenye peak, hii kwa sababu anapumbazwa na attention anayoipata kutoka kwa wanaume. Kiukweli wanaume wanamtolea macho kwa matamanio ya kingono tu, nothing serious. Hapa bodaboda sio hadhi yake tena atajipandisha chat kidogo mpaka kwa wanafunzi wa chuo au wafanyakazi wa level za kawaida uko maofisini. Hii ndio hatua ambayo anaanza kujihusisha na maisha ya usiku yaani club na pombe
21-23: Hiki ndicho kipindi ambacho mara nyingi mwanaume mwema mwenye malengo mazuri nae ndio huwa anajitokeza, lakini unajua nini? hapa nice guys wanakua sio chaguo lake. At this stage she prefer bad boys because these players and irresponsible men provide her with dramas. She think she is still in control but she is just a pawn in her own game of self-destruction.
24-25; Bado analanda landa na bad boys hajaamua kutulia. Akiulizwa kuhusu kuolewa anasema anataka kuwa huru kufanya mambo yake(maana iliyojificha hapo ni kwamba anataka uhuru wa kuishi reckless life bila kuwa accountable kwa yoyote) Kumbuka hapo mileage ya body count inazidi kusogea. Hii ndio hatua ya mwisho ya hoe phase.
PANIC PHASE
26-27: Nature inaanza kumuhukumu. Taratibu bad boys wanamkimbia wanaenda kwa batch mpya ya watoto wabichi walioingia sokoni. Taratibu anaanza kuwapa nafasi wanaume aliowafungia vioo akiwa kwenye ubora wake, ila nao baada ya kupiga wanaona hakuna maajabu wanaingia mitini. Lakini delusions zake bado hazijamtoka akilini completely kwaiyo bado anakua na mawazo atajitokeza mwanaume mwema. Wengi wao huwa wanafika hii hatua wakiwa single mother.
28-29; Hapa ndipo anagundua ukweli kwamba thamani yake sokoni imeshaisha, anaanza kutafuta mwanaume mwenye hofu ya Mungu yaani anamtafuta simp mmoja hapa atakaepuuzia past yake.
30-32; Anaweka kambi kanisani. Anakalili vifungu vya biblia, hakosi ibada. Kumbuka hayo anayafanya kinafiki tu akitegemea kwa kufanya hayo ataifuta past yake chafu.
TOXIC PHASE
33+; Kabeba vinyongo moyoni, hana matumaini ya ndoa, amekua feminist-anapandikiza chuki za kijinsia ili na wanawake wenzake waishie kuwa miserable kama yeye. Kutwa kulaumu wanaume kwa maamuzi yake mabovu wakati ashahau yeye mwenyewe ndie ambae hakuitumia vizuri peak yake.
My brothers, listen to me very careful. The modern woman who follows this path will target you as her last option after the streets damage her. Don't be her retirement plan. You were made for the fresh, not for left overs
Utatuvunja mbavu