Zijue hoe phase, panic phase na toxic phase katika lifecycle ya mwanamke wa kisasa

Nakubali mkuu. Kwa povu ambalo analimwagaga humu hasa ktk thread zako, namuonea huruma sana mwanaume atakayeingia naye ndoani. Ana ujuaji mwingi saana then she is talking too much.

Sijui ni nini kimempelekea awe hivi kuaminisha kwamba mwanamke yupo sawa kabisa na mwanaume kwa kila kitu. Kama anaamini ktk Mungu basi anapingana pakubwa na kile ambacho Mungu amekiasisi mwenyewe.
 
Ulifanya vizuri kumwambia ukweli ingawa nina uhakika ukweli huo ulimuuma maana hawa wakina dada wa sasa hawapendi kuwa accountable kwa mawazo yao ya mgando
 
Nyani huwa anatetea nyani wenzake. So kama unatetea kundi fulani la wanajamii then una fanania nao vizuri sana.
Huyu anajifanya kuwatetea wanawake kwa ujumla lakini kimsingi anajitetea yeye mwenyewe indirectly, na nina uhakika kabisa hakuna mwanamke mwenye akili timamu na maadili mazuri ambae ana nia njema na mahusiano/ndoa yake anaweza kumsikiliza Jadda
 
Nadhani unatakiwa ufahamu kuwa USHOGA chanzo chake ni influence ya malezi ya kike katika akili ya mtoto wa kiume, hakuna mwanaume anayelea mtoto awe shoga.
Mfano mzuri yule mtoto wa Irene Uwoya alizaa na Ndikumana. Mtoto mdogo anasukwa nywele anapakwa lips shine na mama ake. Hivi huyu akiwa shoga lawama zitarushwa kwa wanaume?
 
Kama nawaona vile wanapita na kusonya 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hannah njoo na utetezi wako kabisa ila mobeto kama mfano hatutaki maana yule tako lake wanawake wote tz hawana
 
Haiwezekani kabisa innocent and feminine woman kuwa feminist. Huyu mtu anaishi na heartbrokens
 
SSa
Safi sana, mimi ni mwanaume, now nashukuru Mungu naanza kujipata, kwahiyo ninachofanya ni kuchagua kilichonona nikipendacho, wanawake walio substandard nawatupia huko, na Hawa viumbe ni wataalamu wa kunusa hela sijui wamepata wapi hicho kipaji.
 
Huyo utakuta ni single mother yupo kwenye toxic stage na hajaolewa, utapoteza muda bure
 
SSa

Safi sana, mimi ni mwanaume, now nashukuru Mungu naanza kujipata, kwahiyo ninachofanya ni kuchagua kilichonona nikipendacho, wanawake walio substandard nawatupia huko, na Hawa viumbe ni wataalamu wa kunusa hela sijui wamepata wapi hicho kipaji.
Kadili inavyopanda ngazi kimaisha ndivyo unatakiwa kuwa makini zaidi na muingiliano wako na wanawake. Hiki ni kipindi ambacho utakua target ya hawa wakina dada, usije ukajidanganya kwamba wewe una mvuto, handsome na illusions zingine. Ukweli ni kwamba wanawake hawa hawakuangalii wewe kama binadamu, wanakuangalia kama fursa.
 
Kama kawa,natoa kwanza like kisha nauja kusoma madini
 
Uzuri wanaume masimp kama wakina marehemu Hamad Ndikumana,aliyekua mume wa Irine Uwoya.....ama wakina Aziz Ki,wapo wa kutosha,watakuja kula makombo yalisoyasababishwa na badboys,wakina Marehemu kanumba,Diamond na majizzo
 
Mwanaume thamani yake ipo kwenye pesa maana ndo ana jukumu la kuihudumia familia, lakini mwanamke hana jukumu hilo, thamani yake siyo pesa bali ni kujitunza mwili wake. Huyo Jadda anayelalamika kuwa tunawaharibu wanawake kwani tunawabaka? Si makubaliano, kwanza ktk mahusiano mwanaume ndo anapata hasara, hapo nani anamharibu mwenzie?
 
SSa

Safi sana, mimi ni mwanaume, now nashukuru Mungu naanza kujipata, kwahiyo ninachofanya ni kuchagua kilichonona nikipendacho, wanawake walio substandard nawatupia huko, na Hawa viumbe ni wataalamu wa kunusa hela sijui wamepata wapi hicho kipaji.
Mkuu sio hela tu hata Mafanikio πŸ˜ƒ yaani yeye yupo Kigoma we umefanikiwa zako Mtwara utashangaa simu hiyo! πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…