Zijue hoe phase, panic phase na toxic phase katika lifecycle ya mwanamke wa kisasa

Zijue hoe phase, panic phase na toxic phase katika lifecycle ya mwanamke wa kisasa

Sawa. Tukubaliane tumeshindwa kukubaliana.
Halafu hii tabia yako ya kuanzisha mijadala na mimi kisha unashindwa kuendelea na kuacha kusoma nilichoandika ife, kama unajijua kabisa kuwa hutakuwa na hoja za kunijibu basi usiwe unaanzisha mijadala na mimi, ukiona comment yangu hata kama ni kwenye uzi wako iache usiiquote wataiquote wengine walio tayari kwa mijadala
 
sasa kama tumeshindwa kukubaliana unataka tuendelee mpaka wapi?. Wewe una mtazamo wako na mimi nina mtazamo wangu basi kila mtu abaki na mtazamo wake. Shida iko wapi hapo
 
Nendeni huko kwa waliowachakaza. Hatuli makombo sisi. Sisi sio mafisi wa kula vilivyooza.
Kijana kabla hujawaita wanawake wengine makombo jiangalie kwanza wewe hadhi yako, halafu uwe na uhakika kuwa mama yako naye aliolewa na baba yako akiwa bikira, kuwa makini na unayoyawaza na unayoyaandika humu usiropoke hovyo tu
 
Mnavyojifariji humu utadhani wote mnaoa wanawake wenye hizo sifa nzuri mnazoziimba humu kila siku, kama mwanaume unajijua ulishiriki kwenye past ya mwanamke yeyote hata wewe hustahili kuoa mwanamke bikira, acheni kuchezea wasichana vinginevyo hata ninyi mnajikomoa wenyewe kwa kukosa wanawake wenye sifa mnazozitaka na kuangukia kwa wenye 'afadhali'..hivi mtoa mada una habari Hamisa kaolewa na Aziz??
Cc Jada..🖐️
 
sasa kama tumeshindwa kukubaliana unataka tuendelee mpaka wapi?. Wewe una mtazamo wako na mimi nina mtazamo wangu basi kila mtu abaki na mtazamo wake. Shida iko wapi hapo
Siyo mara ya kwanza kukutana katika mijadala ya namna hii na unajua fika hatujawahi kubaliana kutokukubaliana, sasa kwanini bado kila ukikuta comment yangu unataka uijibu ilihali unajua lazima tutaishia njiani, maana mimi kila ukiniquote huwa nadhani labda uko tayari kwa mijadala na kueleweshwa kumbe unanipotezea muda tu
 
embu siku moja jaribu kumtafuta kiranga ubishane nae, uenda nyie wawili ndo mtaweza kufanya mjadala usiokua na mwisho. Mimi sina kipaji cha kubishana. Napenda kuelekezana na pale ambapo hatutaelewana basi kila.mtu abaki na mtazamo wake
 
Kijana kabla hujawaita wanawake wengine makombo jiangalie kwanza wewe hadhi yako, halafu uwe na uhakika kuwa mama yako naye aliolewa na baba yako akiwa bikira, kuwa makini na unayoyawaza na unayoyaandika humu usiropoke hovyo tu
Mkiwa wabichi nyodo na matusi kama yote, mkioza sasa full kutusumbua eti tuwaone na hizo anal fingering mlizokuwa mnafanyiwa.
 
Mnavyojifariji humu utadhani wote mnaoa wanawake wenye hizo sifa nzuri mnazoziimba humu kila siku, kama mwanaume unajijua ulishiriki kwenye past ya mwanamke yeyote hata wewe hustahili kuoa mwanamke bikira, acheni kuchezea wasichana vinginevyo hata ninyi mnajikomoa wenyewe kwa kukosa wanawake wenye sifa mnazozitaka na kuangukia kwa wenye 'afadhali'..hivi mtoa mada una habari Hamisa kaolewa na Aziz??
Jiwe gizani. Hapo unaingia phase gani?🤔

Maana kwa mawenge yako tayari unaonekana haupo hatua nzuri.

Anyways, hamisa ni kama Kim Kardashian tu wa Tanzania, malaya nao huolewa bidii yake tu ya ushawishi. But usichokijua ni kwamba jamii haikupi heshima kwa kuolewa tu bali uwezo wako wa kumudu na kuishi ndani ya ndoa.

Wema sepetu akitaka kuolewa anaweza olewa kila mwaka, marehemu Dida alioelewa zaidi ya mara 5.

Sijui kama unaelewa point yangu kwamba sherehe ya harusi sio Ndoa yenyewe. Ndoa ina wenyewe ambao huwa wanaistahiki na wana vigezo.

Mtu ameshaonjwa na wanaume zaidi ya 10 kwenye ndoa anakwenda kufanya nini, if she came from a respectable and good home she will be a home maker and a wife. If she came from the streets with the hood culture in her character she is not going to make a home.
 
Jadda yupo toxic phase.
 
Kama taifa kwenye suala la malezi tayari tumefeli. Familia ni conservative institute, ulimbukeni wetu wa kugeza umagharibi kwa kutaka familia iwe liberal institute ndio umetufikisha hapa.
Hii ngoma ni ngumu na tukiwachekea watatuharibia jamii. Somo la usingle mother naona limeanza kuzaa matunda.

Kuna siku napita sehemu napishana na vibinti vinataniana "wewe mtoto wa single mother" mwenzake anajibu "wee koma mimi sio mtoto wa single mother baba yangu yupo".😂😂😂😂

So tuendelee kuponda vichwa vya hawa nyoka.
 
Kwanza kabisa jueni kutofautisha kati ya nature na social constructs msichanganye hivi vitu viwili wala msilazimishe kiwe kitu kimoja kwa sasa tunachokiona siyo nature bali ni wanaume kuumia zaidi kwa kukosa wanawe wenye sifa wanazozitaka, mwanaume akiamua kwa makusudi kuwachezea wanawake kwa kudhani kwamba anawakomoa mwisho wa siku akitaka kuoa atakosa wanawake so called wife material kwahiyo atakayeteseka ni yeye, tukija kwa wanawake ukitoa stress za kusakamwa na jamii hakuna madhara wanayoyapata wao kama wao kwa kukosa bikira wenye shida na hizo bikira ni wanaume hivyo ninyi ndio mnatakiwa kuhakikisha hamzitoi hovyo hovyo kwa visingizio visivyo na uhalisia matokeo yake ninyi ndio mnafata kuwa delusional baada ya wanawake
Ingekuwa ulichosema ni kweli then wanawake 30+ wasingekuwa na time na mahusiano wala mapenzi. Ila ukweli sote tunajua kuwa muda unavyozidi kwenda ndio mwanamke anaona umuhimu wa kuwa na mwanaume m'moja mwenye maisha mazuri na anayeweza kumtunza.

Na wewe naona ndipo unapoelekea sijui ushaanza kuooana jioni tayari?
 
Attachments

  • IMG_20250208_124649.jpg
    IMG_20250208_124649.jpg
    19.6 KB · Views: 2
Jadda akili yako ipo sawa kweli? kwamba ukitombeshe ubaki kuwa single mother na trauma kibao halafu ateseke mwanaume ambaye hata hakujui.! Are you normal?

Suala la vigezo vya thamani ya mwanaume na mwanamke sio social constract iyo ni nature. Soko la mwanamke wa under 25 kwenye dating pool hauwezi kulinganisha na soko la mwanamke wa 33+.

Izo feminism na 50/50 ndio social constracts kwa sababu application yake ni mpaka zifanyiwe promotion na ziwekewe sheria, haziji naturaly kutokana na insticts za kibinadamu
Huyu material ya ufeminist yanampelekesha balaa huwa nikisoma reply zake ndio naelewa kuwa ni kweli accountability ni sumu kwa mwanamke wa kisasa hawataki kukubali kuwajibika wala kuwajibishwa always wanaplay victim na kublame wanaume kwa maamuzi yao ya kitakataka.
 
Nadharia tu
Ni wanaume kama wewe ambao huitwa "enablers" au wawezeshaji.

Ndio kama wewe sampuli yako miaka ya 1990's walifunga kibwebwe na kupiga vigelegele wakisema "wanaume na wanawake ni sawa na wanawake wapewe haki sawa na wanaume" then saa hii tunashuhudia wanawake waking'ang'ania haki za wanaume na mamlaka yao ila wakilalamika wanapopewa majukumu na mizigo ya wanaume.

Ni sampuli ya wanaume kama wewe ambao ndio zege la msingi wa kupotosha jamii kuamini vitu ambavyo baadae vinakuja kuleta migogoro ya kimaslahi.

Sasa unasema alichosema ni nadharia,una uhakika hizo ni nadharia? Wewe alichokiandika hapo huku mtaani haukioni,au unaishi upanga na masaki maghorofani na wahindi so unashangaa kuona mtu anaelezea mfumo wa maisha usio wa kawaida kwa mabinti wa kisasa?

Grow up some balls and be a man for your community not a simp for some women's attention.
 
Ok
 
Vijana wengi wamemezwa na mfumo jike ambao umewaaminisha kushusha standard zao na kukubaliana na disrespects na reckless life ya mwanamke ndio ugentleman.

Kijana kama huyu ukimwambia aoe mwanamke bikira atakuambia hayo mawazo ambayo yashapitwa na wakati lakini atajiona kidume kwa kuoa single mother.
 
Yani mimi naandika uhalisia wewe unaleta habari za nature ya mchongo, hebu tuje huku kwenye maisha halisi hawa wanawake wenye hizo pasts mnazoziita mbovu mbona wanaolewa kila siku, mngekuwa mnaoa hao wanawake wenye sifa nzuri mnazoziota basi ndoa zisingekuwa zinavunjika kila siku

Halafu kama hilo suala la mwanamke kupata trauma lingekuwa nature kwanini linawapata wanawake wa jamii fulani tu mfano waafrika, kwanini lisiwapate wanawake wote dunia nzima au wewe umesikia wapi wanawake wa kizungu wanapata trauma sababu ya kuwa single mothers na past mbaya, wao wanaolewa hata wakiwa wakiwa na miaka 50 ila huku mwanamke akifikisha miaka 30 tu anaanza kusakamwa hadi anakuwa desperate na ndoa sasa ni nature ya wapi hiyo au hujui hata maana ya nature

Au ulisikia wapi wanawake wa kizungu wakifikisha umri fulani wanaanza kukimbilia makanisani kutafuta ndoa jiulize kwanini hayo mambo yako afrika tu na jamii nyingine zisizostaarabika, jiulize hizo trauma zinatokana na nini yani mtu kuwa tu mdangaji au single mother ghafla tu apate trauma from nowhere bila kisababishi chochote, halafu nimekuambia nipe madhara ya moja kwa moja anayopata mwanamke yeye kama yeye (ambayo hayamhusishi mwanaume) kwa kukosa bikira
Wewe unajua haupogo serious hata kidogo na reply zako.

Hivi wewe unajua hali iliyopo sasa hivi huko ulaya marekani?🤔

Unajua kuwa rate ya ndoa,familia,na kuzaa watoto imeshuka,hao wanaoolewa wewe ndie unafungisha ndoa?

Hebu tupe real time information na sio fabricated information?

Nenda kwenye page ya Elon Musk kule Twitter(X)katazame ni mara ngapi ameliongelea hili swala la kushuka kwa ndoa,drop ya population na kuzaa watoto, na ongezeko la divorces.

Kwasasa hali sio nzuri. Na wewe umegusia wanawake wa asili ya Africa ( black American)ambao ni the least desired inapokuja swala la ndoa but most desired when it comes to prostitution.

Wanawake wa kizungu wanajiweza kiuchumi na wengi wao wanamaanisha ile 50/50 na wanaiishi kiukweli. Anafosi kulipa bili, ukimpa pesa bila sababu na hakukuomba utaona anakuonea huruma na atagoma sababu wamekuzwa na system hiyo ya kimagharibi.

Nyie akina Jadda mwanaume asipokupatia chochote hauoni sababu ya kuwa katika uhusiano yaani unataka kulipwa 100% kwa vitu ambavyo mwanaume hatumii na ni bills au gharama zako wewe mwenyewe.

Wewe usiongee vitu usivyovijua wewe.
 
Wewe kutowaoa huwapunguzii kitu wala huwakomoi bali unajikomoa mwenyewe, hasa pale utakapokosa mwanamke mwenye sifa ulizojiwekea kichwani mwako, usipowaoa wewe wataolewa na wengine huku wewe ukizeeka bila kupata mke uliyemtaka
Endelea kujifariji ila wanaooa ni wanaume na ndio wanasema wanaoa wakina nani,wewe captain ya meli ya MV wasimbe unatetea kitu ambacho watekelezaji ndio unawabishia sasa?

Wewe umeoa wanauwake wangapi hadi ubishie wanaume ambao ndio waowaji?
 
Hapa sababu kubwa ni wanaume hao kuuzowa mbuzi kwenye gunia. Kizazi cha sasa wanaume wengi wanaoa bila kufanya background check ya mwanamke anaemuoa. Wachache huwa wanaoa pamoja ma kujua past ya mwanamke ni mbovu hawa ndio masimp ambao tunaamsha hapa. Suala la ndoa kuvunjoka sio jambo zuri na hasara nyingi kuliko faida kwenye jamii ndio maana sisi ambao tunajali ustawi wa jamii tupo hapa kuwaamsha hawa masimp wakati nyie ambao mliitumia past yenu kuishi reckless mnatupinga mkifikiri tunawalenga nyie

Usingle mother hata wanawake wa jamii ya kizungu unawatesa pia, fanya research yako vizuri. Hakuna mwanamke asiependa mtoto wake akose father's figure kwenye malezi yake.

Mashangazi ya kizungu yapo uko kwenye dating apps wanatafuta waume. Narudia tena fanya research zako vizuri
Kana kaa chini na kudownload uhalisia wake wa maisha then kanasema sisi ndio tunatengeneza uhalisia.
 
Vijana wengi wamemezwa na mfumo jike ambao umewaaminisha kushusha standard zao na kukubaliana na disrespects na reckless life ya mwanamke ndio ugentleman.

Kijana kama huyu ukimwambia aoe mwanamke bikira atakuambia hayo mawazo ambayo yashapitwa na wakati lakini atajiona kidume kwa kuoa single mother.
Halafu akija ambiwa mkewe analiwa nje na watoto sio wake anaona ni bora kujiua kuliko kuanza life upya. Pussified takataka kabisa hawa.
 
Back
Top Bottom