Zijue hoe phase, panic phase na toxic phase katika lifecycle ya mwanamke wa kisasa

Zijue hoe phase, panic phase na toxic phase katika lifecycle ya mwanamke wa kisasa

Hapa sababu kubwa ni wanaume hao kuuzowa mbuzi kwenye gunia. Kizazi cha sasa wanaume wengi wanaoa bila kufanya background check ya mwanamke anaemuoa. Wachache huwa wanaoa pamoja ma kujua past ya mwanamke ni mbovu hawa ndio masimp ambao tunaamsha hapa. Suala la ndoa kuvunjoka sio jambo zuri na hasara nyingi kuliko faida kwenye jamii ndio maana sisi ambao tunajali ustawi wa jamii tupo hapa kuwaamsha hawa masimp wakati nyie ambao mliitumia past yenu kuishi reckless mnatupinga mkifikiri tunawalenga nyie
Hawa wanaume wanaooa wanawake mnaodai wana past mbaya siyo kwamba ni wajinga, ila wameamua kutoka kwenye fantasies na kuja kwenye reality wameamua kukubaliana na hali halisi, kwamba huwezi kupata wanawake bikira katika jamii ambayo wanaume ndio wametembea na hao wanawake na kuzitoa hizo bikira

Vinginevyo ili upate wanawake waliojitunza maana yake na wanaume nao itabidi wajitunze sababu watakosa wanawake wa kufanya nao, sasa ninyi mkiambiwa mjitunze hamtaki mnakimbilia kusema eti wanawake ndio wajinga kukubali ilihali ninyi ndio mnaowashawishi, aliyewaambia kuwa wanawake ndio malaika kwamba wataweza kukwepa vishawishi vyote ni nani

Lazima mkubali kwamba kwenye suala la uzinzi wote wanawawake na wanaume mna makosa hivyo wote mtawajibika huko mbeleni, sasa mnataka ninyi msiwajibike kwa kutoa bikira za wasichana na kuwachezea huku ujanani wakati kiuhalisia wenye shida na hizo bikira huko mbeleni ni wanaume, ndio maana nikakuuliza nitajie madhara anayopata mwanamke moja kwa moja kwa kukosa bikira mpaka sasa unajizungusha tu ilihali swali ni jepesi au umeishiwa hoja
Usingle mother hata wanawake wa jamii ya kizungu unawatesa pia, fanya research yako vizuri. Hakuna mwanamke asiependa mtoto wake akose father's figure kwenye malezi yake.
Sababu kubwa inayopelekea wanaume wa kizungu kuchelewa kuoa ni sheria zao za mgawanyo wa mali tu, na siyo hizo sababu zenu za kipumbavu zisizo na uhalisia, wewe ulisikia wapi wanaume wa kizungu wanatafuta bikira au kusema hawaoi kisa wanawake wao ni malaya uliona wapi
Mashangazi ya kizungu yapo uko kwenye dating apps wanatafuta waume. Narudia tena fanya research zako vizuri
Huko kwenye dating apps hayapo hayo mashangazi ya kizungu tu bali wapo hadi mabinti na vijana wanatafuta wenza, kwahiyo unataka kusema na hao wanaume walioko huko nao wamekosa wanawake ndio maana wanahangaika kutafuta huko, halafu kwa taarifa yako siyo kwamba hao wanawake unaodhani wameishiwa soko hawatongozwi wanatongozwa sana tu ila bado wanaendelea kuchagua wanaume sahihi
 
Mwanaume unakosaje mwanamke wa kuoa😄😄😄😄 utakuwa chizi wewe!!!

📌📌📌Wataolewa na SIMPS(WEAK MEN)!!!
Muhimu ni wao kuolewa, hawataki wanaume wasiojielewa, hao simps ndiyo wazuri
 
Mnavyojifariji humu utadhani wote mnaoa wanawake wenye hizo sifa nzuri mnazoziimba humu kila siku, kama mwanaume unajijua ulishiriki kwenye past ya mwanamke yeyote hata wewe hustahili kuoa mwanamke bikira, acheni kuchezea wasichana vinginevyo hata ninyi mnajikomoa wenyewe kwa kukosa wanawake wenye sifa mnazozitaka na kuangukia kwa wenye 'afadhali'..hivi mtoa mada una habari Hamisa kaolewa na Aziz??
tunachakata tuu
 
Uyo Jadda yupo hapo kwenye hatua ya mwisho ya toxic phase. Wanawake kama hawa wamejificha kwenye kichaka cha kutetea haki za wanawake lakini kiuhalisi ni virusi hatari sana kwenye ustawi wa jamii, sana sana wakipata platform ya kukutana na mabinti wadogo.
Masikini mkishaishiwa hoja huwa mnapenda sana kujifariji kwa kutumia ad hominem attacks kama hizi kama defensive mechanism, hapo ukiulizwa una uhakika gani kama mimi niko kwenye hiyo so called toxic phase huna uthibitisho wowote zaidi ya mihemko tu, yani hapo ni sawa na kusema kuwa kwa sababu nawatetea sana walemavu basi na mimi lazima tu nitakuwa mlemavu sasa sijui ni kanuni ya wapi hiyo
 
Hawa wanaume wanaooa wanawake mnaodai wana past mbaya siyo kwamba ni wajinga, ila wameamua kutoka kwenye fantasies na kuja kwenye reality wameamua kukubaliana na hali halisi, kwamba huwezi kupata wanawake bikira katika jamii ambayo wanaume ndio wametembea na hao wanawake

Vinginevyo ili upate wanawake waliojitunza maana yake na wanaume nao itabidi wajitunze sababu watakosa wanawake wa kufanya nao, sasa ninyi mkiambiwa mjitunze hamtaki mnakimbilia kusema eti wanawake ndio wajinga kukubali ilihali ninyi ndio mnaowashawishi, aliyewaambia kwamba wanawake ni malaika kwamba wataweza kukwepa vishawishi vyote ni nani

Lazima mkubali kwamba kwenye suala la uzinzi wote wanawawake na wanaume mna makosa hivyo wote mtawajibika huko mbeleni, sasa mnataka ninyi msiwajibike kwa kutoa bikira za wasichana na kuwachezea huku ujanani wakati kiuhalisia wenye shida na hizo bikira huko mbeleni ni wanaume, ndio maana nikakuuliza nitajie madhara anayopata mwanamke moja kwa moja kwa kukosa bikira mpaka sasa unajizungusha tu ilihali swali ni jepesi
Hao ni masimp na wale ambao hawana options. Real man mwenye options hawezi kuchagua damaged woman wakati kwenye cycle yake kuna femimine women waliotunza thamani zao, nbsijasema wanaume hawana makosa ninachosema ni kwamba jinsia zinahukumiwa kwa vigezo tofauti. Mwanaume anaweza kuchezea wanawake lakini atakapoamua kutulia atafute mke akifanya vetting yake vizuri atapata mke mwema hata kama past yale inajulikana ni chafu muhimu ru kwa kipindi hicho awe amejipata. Lakini past ya mwanamke ikiwa chafu hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kufanya nae maisha, vingenevyo auziwe mbuzi kwenye gunia kama nilivyosema uko hawali
Sababu kubwa inayopelekea wanaume wa kizungu kuchelewa kuoa ni sheria zao za mgawanyo wa mali tu, na siyo hizo sababu zenu za kipumbavu zisizo na uhalisia, wewe ulisikia wapi wanaume wa kizungu wanatafuta bikira au kusema hawaoi kisa wanawake wao ni malaya
Kwani Jadda mwanamke mwanamke kujotunza ni adhabu au kitu kibaya? sawa tuseme kuna wanaume waalibifu embu tuachane na hawa wanaume kwanza tuongelee wewe mwenyewe binafsi. Ukiamua kujitunza mpaka utakapoolewa kuna ubaya wowote? Maana kwa mtazamo wako ni kwamba unakubaliana na reckless life ya wanaaake wa kisasa kwa kigezo kwamba watakapohitaji kuolewa watapata mume tu pamoja past zao chafu
Huko kwenye dating apps hayapo hayo mashangazi ya kizungu tu bali wapo hadi mabinti na vijana wanatafuta wenza, kwahiyo unataka kusema na hao wanaume walioko huko nao wamekosa wanawake ndio maana wanahangaika kutafuta huko, halafu kwa taarifa yako siyo kwamba hao wanawake unaodhani wameishiwa soko hawatongozwi wanatongozwa sana tu ila bado wanaendelea kuchagua
Hata makanisani pia kuna mabinti wadogo wanaenda uko kutafuta mume. Nimetumia mfano wa dating apps kwa sababu uko wazungu ndipo wana-prefer zaidi ya masuala ya kwenda kutfuta miujiza kanisani
 
Masikini mkishaishiwa hoja huwa mnapenda sana kujifariji kwa kutumia ad hominem attacks kama hizi kama defensive mechanism, hapo ukiulizwa una uhakika gani kama mimi niko kwenye hiyo so called toxic phase huna uthibitisho wowote zaidi ya mihemko tu, yani hapo ni sawa na kusema kuwa kwa sababu nawatetea sana walemavu basi na mimi lazima tu nitakuwa mlemavu sasa sijui ni kanuni ya wapi hiyo
Wewe upo kwenye toxic phase., acha blah blah wote ni watu wazima hapa na tunaelewa
 
Kuanzia miaka 18 mpaka 27 unapigwa fingering nyuma, una lamba mibolo unameza kabisa na cums alafu leo umeoza unataka uolewe na mimi. K kibuyu wewe..
Kijana kwani ni nani huyo anayelazimisha kuolewa na wewe inaonekana una hasira naye sana, wewe ni nani na una nini hadi uhisi wanawake kuna kitu watakosa wasipoolewa na wewe, na hata kama wapo wanawake wanaotaka kuolewa na wewe basi lazima wana akili za kipumbavu kama zako
 
Hii ni trend ya maisha ambayo wanawake wa kisasa wameichagua, ni timeline ya chaos, delusions na entitlements zao ambazo zina-influence maamuzi yao.

HOE PHASE

12-15: Hapa anaanza mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wenzake shuleni au mtaani. Mara nyingi ndio kipindi ambacho anatolewa bikira.

16-18; Hapa anaanza kuwapiga chini wale boys wa age yake kwa sababu anaona hao sio hadhi yale tena. Hao boys atawaweka tu kwenye cycle yake kwa ajiri ya kumsaidia kimasomo darasani. Hapa anajiwekea standard za juu sio kutokana na character yake bali kutokana na delusions. Wengi hapa huwa wanachakatwa na bodaboda na kupewa vijisent kidogo na lift.

19-20: Hapa sasa ego yake inakua kwenye peak, hii kwa sababu anapumbazwa na attention anayoipata kutoka kwa wanaume. Kiukweli wanaume wanamtolea macho kwa matamanio ya kingono tu, nothing serious. Hapa bodaboda sio hadhi yake tena atajipandisha chat kidogo mpaka kwa wanafunzi wa chuo au wafanyakazi wa level za kawaida uko maofisini. Hii ndio hatua ambayo anaanza kujihusisha na maisha ya usiku yaani club na pombe

21-23: Hiki ndicho kipindi ambacho mara nyingi mwanaume mwema mwenye malengo mazuri nae ndio huwa anajitokeza, lakini unajua nini? hapa nice guys wanakua sio chaguo lake. At this stage she prefer bad boys because these players and irresponsible men provide her with dramas. She think she is still in control but she is just a pawn in her own game of self-destruction.

24-25; Bado analanda landa na bad boys hajaamua kutulia. Akiulizwa kuhusu kuolewa anasema anataka kuwa huru kufanya mambo yake(maana iliyojificha hapo ni kwamba anataka uhuru wa kuishi reckless life bila kuwa accountable kwa yoyote) Kumbuka hapo mileage ya body count inazidi kusogea. Hii ndio hatua ya mwisho ya hoe phase.

PANIC PHASE

26-27: Nature inaanza kumuhukumu. Taratibu bad boys wanamkimbia wanaenda kwa batch mpya ya watoto wabichi walioingia sokoni. Taratibu anaanza kuwapa nafasi wanaume aliowafungia vioo akiwa kwenye ubora wake, ila nao baada ya kupiga wanaona hakuna maajabu wanaingia mitini. Lakini delusions zake bado hazijamtoka akilini completely kwaiyo bado anakua na mawazo atajitokeza mwanaume mwema. Wengi wao huwa wanafika hii hatua wakiwa single mother.

28-29; Hapa ndipo anagundua ukweli kwamba thamani yake sokoni imeshaisha, anaanza kutafuta mwanaume mwenye hofu ya Mungu yaani anamtafuta simp mmoja hapa atakaepuuzia past yake.

30-32; Anaweka kambi kanisani. Anakalili vifungu vya biblia, hakosi ibada. Kumbuka hayo anayafanya kinafiki tu akitegemea kwa kufanya hayo ataifuta past yake chafu.

TOXIC PHASE

33+; Kabeba vinyongo moyoni, hana matumaini ya ndoa, amekua feminist-anapandikiza chuki za kijinsia ili na wanawake wenzake waishie kuwa miserable kama yeye. Kutwa kulaumu wanaume kwa maamuzi yake mabovu wakati ashahau yeye mwenyewe ndie ambae hakuitumia vizuri peak yake.

My brothers, listen to me very careful. The modern woman who follows this path will target you as her last option after the streets damage her. Don't be her retirement plan. You were made for the fresh, not for left overs
Unajua watu kundi la watu wenye maisha marefu ni wanawake walio single na wanaume waliooa 😃
 
Hapo ni kujipiga tu lidemu la masela kama kawa, kisha unakikataa na kijikausha kama mshumaaa😂😂

🏃🏃🏃speed 120Km/hr kwenye kona shwaaaaa.....
Kiukwel wanawake wakitukubali nalo kosa kawitubania ndyo hatr tupu sijui tuwaweke wapiii
 
Kiukwel wanawake wakitukubali nalo kosa kawitubania ndyo hatr tupu sijui tuwaweke wapiii
Kula futa mdomo and mind your business ishi mentality kama ya madrug dealers.

They dont f*ck around and what they care is the flow of money.Kuhusu afya za wangapi zinateketa hiyo sio kazi yao and in that sense you find a pure capitalist mind.
 
Kwanin watu humu mnapenda mada za kumkosoa mwanamke as if mmezaliwa na wanaume wenzanu show some respect kidogo Kwa mwanamke

Nyie ni wazaz wajao I hope mtazaa hao watoto wakike au wengine mnao halafu baadaya ya miaka 15 tunaomba inshallah uzima na afya Kwa Mungu mtuletee mirejesho humu tusikie hekaheka za watoto wenu sio kitu rahisi kulea mtoto wakike nadhan wazaz mnaelewa kama sio mzaz sidhan kama tunaenda sawa haya maneno mnayoyabwabwaja humu Kuna siku mtakuja kuyakumbuka
Msisahau na watoto wenu wa kiume kwamba utaomba Bora mwanao wa kike kua single mama kuliko mtoto wako wa kiume kua mke wa mtu inshallah liwe kher kwenu
 
Kula futa mdomo and mind your business ishi mentality kama ya madrug dealers.

They dont f*ck around and what they care is the flow of money.Kuhusu afya za wangapi zinateketa hiyo sio kazi yao and in that sense you find a pure cpitalist mind.
Alooo hapa kazi ipo kazn
 
Kwanin watu humu mnapenda mada za kumkosoa mwanamke as if mmezaliwa na wanaume wenzanu show some respect kidogo Kwa mwanamke

Nyie ni wazaz wajao I hope mtazaa hao watoto wakike au wengine mnao halafu baadaya ya miaka 15 tunaomba inshallah uzima na afya Kwa Mungu mtuletee mirejesho humu tusikie hekaheka za watoto wenu sio kitu rahisi kulea mtoto wakike nadhan wazaz mnaelewa kama sio mzaz sidhan kama tunaenda sawa haya maneno mnayoyabwabwaja humu Kuna siku mtakuja kuyakumbuka
Msisahau na watoto wenu wa kiume kwamba utaomba Bora mwanao wa kike kua single mama kuliko mtoto wako wa kiume kua mke wa mtu inshallah liwe kher kwenu
Ilo tunalitambua ndio maana tunakemea mienendo isiofaa. Tungekua tunakosea kama tungefumbia mambo.

We have to stop treating women like kids because this will led to the continuation of the same mistakes because they know even after things fall apart because of their poor decision they will get along with it without been accountable.

Judging women harshly and ruthless atleast will give sense to the and the upcomimg generation that, where they are going is the wrong direction.
 
Back
Top Bottom