mvaa viatu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 351
- 522
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mjapani
14B nyingi zipo kwenye Toyota Dyna old modelY
Shukrani mkuu. Kwangu the best ni 1HZ, then 2L/5L then 1KZ. Hiyo 14B inatumika hasa kwenye gari gani za Toyota
Vp kuhusu 5L na 1KZHakuna Engine ya kijapenga bora zaidi ya 2L/3L, Hazinywi mafuta, spea bei nafuu na zinatengezeka hizi zinatembea hadi kilometa milioni moja guarantee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp kuhusu 5L na 1KZ
2kd nyingi zimefungwa kwenye Hilux Viggo, ni nzuri pia utumiaji wa mafuta ni mzuri sana tatizo tu hizo Viggo Body zake nni Mabati ya ALAF
Hizi ni miongoni mwa injini nzuri pia ila hapo tumeweka the best Japanese racing engines ambazo zilivuma na watu watazimis sana...Sioni 1hz, 1hdfte, 3sgte, 1uzfe
ila 2jz ni mnyama sana.
Sent using Rocket Propelled Grenade
Ile miluzi ni wahuni wanafunga filimbi za mgambo pale kwenye tank la upepo wa brake...Napenda sana miluzi ya fuso
2rz baby[emoji41]Kaka kuna za Toyota ni nzuri sana mfano L series kuanzia 3L mpaka 7L ukikuta hiace ya 5L ninhatari sana tena sana tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
What about Mitsubishi Fuso? Ile saut yake unaijua?The best engine kwa muungurumo ni Engine iliyofungwa kwenye Nissan Civilian.
The best small engine inaenda kwenye engine ya Suzuki Carry!
Hivi Fuso haina Turbo eeh! Mitsubish jamij ya Canter (Fuso) zimesimama.. Zina pulling ya kutosha.What about Mitsubishi Fuso? Ile saut yake unaijua?
Japan ikiwa ni miongoni mwa nchi zenye kutengeneza magari kwa wingi duniani, na ikiwa inamiliki kampuni kubwa tatu za magari ambazo zipo kwenye top 10 ya makampuni makubwa ya magari dunian ambazo ni maarufu kama BIG THREE (TOYOTA, NISSAN na HONDA). Kampuni hizi pamoja na kampuni nyingine ndogo ndogo zimekuwa zikiunda magari yenye injini za technology tofauti tofauti.
Pamoja na hayo, inasemekana injini zifuatazo ndiyo injini bora kabisa na zenye nguvu sana zilizowahi kuundwa nchini Japan. Wale fans wa Mbio watazimis sana injini hizi..
1. 2JZ-GTE (TOYOTA)
Hii ni injini bora kabisa yenye nguvu kutoka kampuni ya Toyota.
Injini hii ina inline six cylinders, twin turbocharged na inauwezo wa kutoa 276hp (206kw)
Ilianza kuzalishwa mwaka 1991 mpaka 2002.
2.RB26DETT (NISSAN)
Hii ni miongoni mwa injini bora kabisa kutoka Nissan ni inline six cylinder, twin turbo charged. Ina uwezo wa 276hp (206kw)
Imetumika sana kwenye Nissan skyline na GTR
3.EJ20k. (SUBARU)
Hii ni injini kutoka kampuni ya Subaru. Ina four cylinders, boxer engine yenye turbo moja. Ina uwezo wa 295hp (219kw). Imetumika sana kwenye subaru impreza WRX na Impreza WRX STI.
4. 13B-REW (MAZDA)
Injini hii imetoka kampuni ya Mazda...Ni Wankel engine au maarufu kama Rotary engine. Ukubwa wake ni Lita 1.3 tu lakini ina uwezo wa 276hp (206kw)
Imekuwa ikitumika kutoka 1972 mpaka 2002 kutokana na ubora wake, imetumika takribani miaka 30. Weka mbali kabisa na watoto
5. K20A. (HONDA)
Hii ni injini kutoka kampuni ya Honda..Ilianza kuzalishwa mwka 2001 mpaka 2011.
Ina 212 hp(158kw)..Imetumika katika model tofauti tofauti za Honda ikiwemo Honda Civic
Nadhani wale fans wa mbio na sauti za kibabe za injini, watazimis sana hizi injini...[emoji39][emoji39][emoji39]..kwa sababu kwa sasa magari yanafungwa majenereta na si injini..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 1kz cjaiona hapoJapan ikiwa ni miongoni mwa nchi zenye kutengeneza magari kwa wingi duniani, na ikiwa inamiliki kampuni kubwa tatu za magari ambazo zipo kwenye top 10 ya makampuni makubwa ya magari dunian ambazo ni maarufu kama BIG THREE (TOYOTA, NISSAN na HONDA). Kampuni hizi pamoja na kampuni nyingine ndogo ndogo zimekuwa zikiunda magari yenye injini za technology tofauti tofauti.