Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,532
- 2,065
Toyota L series iliishia na 5L mkuu.....hakuna version nyingine ya L series baada ya hapo. Japo zinaendelea kutengenezwa mpaka sasa.Kaka kuna za Toyota ni nzuri sana mfano L series kuanzia 3L mpaka 7L ukikuta hiace ya 5L ninhatari sana tena sana tuu
Sent using Jamii Forums mobile app