Zijue Injini 5 za Japan zilizopendwa sana na zenye nguvu sana

Mkuu ngoja niingie chimbo nikajionee
Ingia chimbo uone 1VD ilivyofanya vizuri Jangwani ikifungwa kwenye series 79 na 200.

YouTube angalia 3UZ na 1VD kwenye Land Cruiser Series 200, gari yenye 3UZ kwenye mchanga jangwani inavyopata tabu kupanda milima au kuvuta tela, lakini 1VD inateleza kibabe sana tena kwa speed.

Wapenzi na watumiaji wa Toyota Australia na South America hii 1VD hawajataka hata engine rebuild wao wanacheza na kubadili muffler ili wapate mlio wa mnyama mbabe 1VD.
 

Hapa umenena...

1 na 3 hizo engine ni mawe...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…