Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea na Packard BellAcer/Gateway/eMachines ndo hao hao wamoja mkuuu...
Mbona hazimo?Mbona BenQ, Fujitsu na NEC hazimo
kavae mawani uangalie namba 5Vipi kampuni kama hp? Naona haipo hapo kwenye list yako japo bidhaa zake zipo nyingi pia
Haya makampuni yote asilimia 99 ya production inafanyika CHINA. Real manufacturing knowhow is in CHINA. Thats where the next superpower is1. Dell-Marekani
2. Compaq-Marekani
3. Apple-Marekani
4. IBM-Marekani
5. HP-Marekani
6. Acer-Taiwan
7. Asus-Taiwan
8. Toshiba-Japan
9. Lenovo-China
10. Packard Bell-Netherlands
11. Samsung-Korea Kusini
Changamoto:
A. Afrika hatuna kampuni inayofanya vizuri ktk sekta hizo.
B. India ipo juu sana ktk teknolojia ya komputa lakini kampuni zake hazijulikani sana wakati bidhaa zao zimejaa Bongo, kulikoni?
N.B: Masahihisho na nyongeza yanakaribishwa!
Hao IBM na Lenovo yanatofautiana nini?Haya makampuni yote asilimia 99 ya production inafanyika CHINA. Real manufacturing knowhow is in CHINA. Thats where the next superpower is
IBM is a services company that makes very few hardware. lenovo is mostly a hardware company with very small services divisionHao IBM na Lenovo yanatofautiana nini?
Mkuu hizi laptop zinapatikana kweli sahizi. Ninayo yangu nilinunua 2013 naona betri imekufa inaniletea notification ya ku replace battery sijui napata wapiOngezea na Packard Bell
Wachina hawana habari nacho kibisaa, unamkuta professor lakini hajui kiingreza.UK haihitaji viwanda kuitawala dunia kiuchumi.
Kiingereza tu kinatosha!!!!!
Lakini malighafi zote za hivyo viwanda inatoka Africa1. Dell-Marekani
2. Compaq-Marekani
3. Apple-Marekani
4. IBM-Marekani
5. HP-Marekani
6. Acer-Taiwan
7. Asus-Taiwan
8. Toshiba-Japan
9. Lenovo-China
10. Packard Bell-Netherlands
11. Samsung-Korea Kusini
Changamoto:
A. Afrika hatuna kampuni inayofanya vizuri ktk sekta hizo.
B. India ipo juu sana ktk teknolojia ya komputa lakini kampuni zake hazijulikani sana wakati bidhaa zao zimejaa Bongo, kulikoni?
N.B: Masahihisho na nyongeza yanakaribishwa!