Zijue kampuni kubwa za computer duniani na nchi zinazozimiliki!

Zijue kampuni kubwa za computer duniani na nchi zinazozimiliki!

Nimechunguza sana America ndo kila kitu, computer yeye anazalisha za kutosha nchi nyingine wanabebs ku assemble tu na kupachika majina yao
 
1. Dell-Marekani
2. Compaq-Marekani
3. Apple-Marekani
4. IBM-Marekani
5. HP-Marekani
6. Acer-Taiwan
7. Asus-Taiwan
8. Toshiba-Japan
9. Lenovo-China
10. Packard Bell-Netherlands
11. Samsung-Korea Kusini
Changamoto:
A. Afrika hatuna kampuni inayofanya vizuri ktk sekta hizo.
B. India ipo juu sana ktk teknolojia ya komputa lakini kampuni zake hazijulikani sana wakati bidhaa zao zimejaa Bongo, kulikoni?

N.B: Masahihisho na nyongeza yanakaribishwa!
Haya makampuni yote asilimia 99 ya production inafanyika CHINA. Real manufacturing knowhow is in CHINA. Thats where the next superpower is
 
Taiwan AORUS
Indonesia AXIOO International
Taiwan Clevo
United States Digital Storm
Bangladesh Doel
Taiwan Elitegroup Computer Systems
Canada Eurocom Corporation
United States Everex
United States EVGA Corporation
United States Falcon Northwest – DRX, TLX
China Founder
Japan FujitsuLifeBook, Stylistic
Taiwan Getac
Taiwan Gigabyte Technology
Brazil Gradiente
Turkey Grundig
China Hasee
India HCL
China Huawei - Matebook
Brazil Itautec – Itautec, Infoway
India iball
Croatia Končar – Končar Elektronics and Informatics Inc.
Mexico Lanix – Lanix Portatiles, Neuron
China Lemote
South Korea LGGram
United States Maingear
Germany Medion – Akoya
India Micromax Informatics
Mexico Meebox – Meebox, Slate
Taiwan Micro–Star International (MSI) – Megabook, Wind
Japan NEC – VERSA, LaVie
Italy Olivetti – Olibook
Japan Onkyo – SOTEC
United States Origin PC
Japan PanasonicToughbook, Let's Note
Brazil Positivo Informática– Positivo, Platinum, Aureum, Unique, Premium
Bulgaria Pravetz – 64M
United States Razer – Blade
Japan Sharp – Mebius
Venezuela Siragon, C.A.
United States System76
China Tongfang
South Korea TriGemAveratec
Turkey Vestel
United States VIANanoBook, pc–1 Initiative
United States Vizio
Germany Wortmann – Terra Mobile
India Wipro
China Xiaomi - Mi NoteBook
 
UK haihitaji viwanda kuitawala dunia kiuchumi.
Kiingereza tu kinatosha!!!!!
Wachina hawana habari nacho kibisaa, unamkuta professor lakini hajui kiingreza.
 
1. Dell-Marekani
2. Compaq-Marekani
3. Apple-Marekani
4. IBM-Marekani
5. HP-Marekani
6. Acer-Taiwan
7. Asus-Taiwan
8. Toshiba-Japan
9. Lenovo-China
10. Packard Bell-Netherlands
11. Samsung-Korea Kusini
Changamoto:
A. Afrika hatuna kampuni inayofanya vizuri ktk sekta hizo.
B. India ipo juu sana ktk teknolojia ya komputa lakini kampuni zake hazijulikani sana wakati bidhaa zao zimejaa Bongo, kulikoni?

N.B: Masahihisho na nyongeza yanakaribishwa!
Lakini malighafi zote za hivyo viwanda inatoka Africa
 
Back
Top Bottom