Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
haha mie mascara niiacha niliona macho yanawasha nahs ilikuwa fekelo nitanunua za ukwel nione
Kitu naogopa ni kuongezea eyebrows sijui watu wanafanyaje kwa kweli.
Halafu nilivyosikia zinatoa eyebrows ndo kabsa sitaki hata kuziona...lol