haha mie mascara niiacha niliona macho yanawasha nahs ilikuwa fekelo nitanunua za ukwel nione
Kitu naogopa ni kuongezea eyebrows sijui watu wanafanyaje kwa kweli.
Halafu nilivyosikia zinatoa eyebrows ndo kabsa sitaki hata kuziona...lol
Safari ya wapi ndugu unajikoki hivyo?lakin naskia kuna wajuz wa kuziweka unabandika kati ya kope na kope hazitoki !niliwah weka on my weddng nikawa romantic hatari!nitaweka dec nina kasafari lol
lakin naskia kuna wajuz wa kuziweka unabandika kati ya kope na kope hazitoki !niliwah weka on my weddng nikawa romantic hatari!nitaweka dec nina kasafari lol
Yap ni kweli ukipata wataalam wa kuweka zinapendeza sana, jicho linakuwa jicho haswa!
All the best na kasafari...lol!
Safari ya wapi ndugu unajikoki hivyo?
Yote hio kuvutila bolo yanki tu, shughuli kweli kweli...Thanks God im a man!
We upo safi, i like me a clean woman! Unavutia kwa chakula muda wote..hapo ndo mnapojidanganya !mie wknd huwa najifanyia scurb mwili mzima na ninajimkeup fresh ova nna mtoko usk lakin hata nje huwa sitoki !kila mtu na mapenz yake mkuu
hahah ngoja me nisisemeHahaha!, acha tu usukuma haswa..
Huh!, Lakini demi nyusi miezi mitatu?!
Kweli hizi sio zako!
#TeamNatural#Nimependa nywele
Mmh mmenishinda tabialakin naskia kuna wajuz wa kuziweka unabandika kati ya kope na kope hazitoki !niliwah weka on my weddng nikawa romantic hatari!nitaweka dec nina kasafari lol
Yap ni kweli ukipata wataalam wa kuweka zinapendeza sana, jicho linakuwa jicho haswa!
All the best na kasafari...lol!
Yes mydear..#TeamNatural#
Hii kitu imenishinda, vikija vingine nistue.
Hii kitu imenishinda, vikija vingine nistue.
hapo ndo mnapojidanganya !mie wknd huwa najifanyia scurb mwili mzima na ninajimkeup fresh ova nna mtoko usk lakin hata nje huwa sitoki !kila mtu na mapenz yake mkuu
hahahhhahha nimepata new mkyumba !hahhahaahhah mthungu! lol! we njoo tukajidumbukzie majini mindu !! haha ! mwaka huu lazima nivae 'beach wear' nikiwa Botswanaaaa!lol kwan nini bana !haya niambie mara ya mwisjho kuvaa beach wear ni mwaka gana km sio 10-15yrs ago!haha
Haha bado naiwaza hiyo safari ya mbitiNashindwa kuelewa Kwa nini huwa wanadhani mtu unataka kupendeza kwa ajili yao tu.
Mtu akijiweka vizuri hata anajisikia vizuri na kuwaza mazuri.
Basically, kupendeza lift up the mood.
Hahaha!, gaal!, mwisho kuvaa beach wear lini! [emoji2]
Again, all the best na safari! [emoji12]
Naomba dhawadi ya perfume, isiwe Pampula tyuu...lol
Halafu usiwaambie espy Heaven Sent na Neybright
Ntawapea ma empty bottle ikiisha..[emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha bado naiwaza hiyo safari ya mbiti