Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Naona umeanza kuwa kichaa sasa. Device ipi hapo umetuonesha!?Now am just flossing
NAIROBI KENYA
KASARANI
Kenyatta University
Athletic Village and High Facility Training Centre for IAAF it got 50mn$ worth of Equipments
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Hata lile radar bovu tulioletewa na mkapa miaka ile tulilisifu hivihivi! Tena mkapa kwa kujua kuwa sisi ni empty head akatuaminisha kuwa lipo tanzania Na Urusi tu! Tena akatuambia kuwa hata wale waingereza akina clare short waliotupigia kelele kuwa tunaibiwa walikuwa na wivu kwa sisi kuwa na radar bora kabisa ambayo hata wao hawana! Mwishowe tukaaibika! Nijuavyo kwa dunia ya leo hakuna cha peke yako.They're not just available. They've been available for decades. Kweli kukosa maarifa ni kitu cha ajabu. Huenda lile flyover la Ubungo ambalo tangu 2012 walipoanza kupiga kelele halijaanza kujengwa likimalizika utasikia eti lipo Tanzania tu, Kenya hawana.

Hata lile radar bovu tulioletewa na mkapa miaka ile tulilisifu hivihivi! Tena mkapa kwa kujua kuwa sisi ni empty head akatuaminisha kuwa lipo tanzania Na Urusi tu! Tena akatuambia kuwa hata wale waingereza akina clare short waliotupigia kelele kuwa tunaibiwa walikuwa na wivu kwa sisi kuwa na radar bora kabisa ambayo hata wao hawana! Mwishowe tukaaibika! Nijuavyo kwa dunia ya leo hakuna cha peke yako.
hii thread ilinipitia wapi mwaka jana?..shabash!!!!DigiSuper Camera. Only in Tanzania not in Kenya. Hahahahahaha
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Yani, watakuambia Adam na Eva walizaliwa Kenya.
aah wapii leta evidence! Hata water paying meters hazipo Kenya.You're just as ignorant as a village idiot. Ww untoka Mwanza ukaingia Dar wiki jana ukaziona mara ya kwanza ukadhani nchi jirani hazina ?
Vitu vyenye mi huona hapa ni Neanderthal kweli. Just so you know, hata shosh wangu ako na hiyo ghasia ( PAYG Power tokens ) unachodhani kuwa adimu kama iPhone!