Zijue mbinu wake zetu hutumia kuwasiliana na michepuko kwa simu bila sisi kujua

Ukishakuwa na ufundi wa kupekua kipochi manyoya, hata hawana usumbufu mkuu.

Hawa wanawake ni kuhakikisha unawakaza ipasavyo.
Ila asiwe Mke wa MTU Mkuu, hua namuwaza sana wife siku nikikuta nayeye anacheat..
 
Ila asiwe Mke wa MTU Mkuu, hua namuwaza sana wife siku nikikuta nayeye anacheat..
Ni muhimu hawa wakezetu kuwakaza ipasavyo. Lakini ili hili lifanikiwe ni muhimu kuwa na mawasiliano ya hali ya juu.
 
Kuna hii nyingine usiku nyumba za kupanga mkeo anaenda kuoga bafuni kumbe tayari ameshapanga na njemba inakuwa inamsubiri bafuni inapiga cha fasta wewe wakati huo umetengewa msosi
Kumbe nishatengewa na msosi waiii what more can i ask for?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Never boss kuswitch zone yoyote ni process ambayo inahitaji verification ya fingerprint
sasa mfano kajaribu kutaka kufungua akakuta kuna kizuizi...maana yake ni hiyohiyo kua kuna vitu unaficha..na sio muaminifu au humuamini..unaona umemuweza kumbe tafsiri ileile
 
ndio na nyie njooni na mbinu za wanaume mnazojua.hapa ni kubadirishana uzoefu kwa nia njema tu!! wote sio malaika ila inauma ile kitu kitamu kula peke yako aisee
Wanaume wanatumia nguvu/udiktactor, tofauti na wanawake wanatumia akili kuficha michepuko yake
 
Ukiwa na AKILI TIMAMU hata siku moja MWANAMKE (tena unayeishi naye ndani) hawezi kukudanganya muda wote. Atafanikiwa tu kwa siku moja au muda mfupi sana.
 
Asee
 
Kiukweli mimi huwa nawaonea sana huruma wanawake wanavyofanya huwa wanaona wanatukomesha sana ila hakuna mtu mbaya kama mwanaume anaweza kulala hadi na mama Mkwe wake sema tu huwa tunawaonea huruma maana akili zao hazijasimama dede.
Naam
 
Hahaha aseee good story
 
Wewe ndio unawasiliana na mke wa mtu kwa staili hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…