Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tabia za CCM mkuuHuo uhuni wa kizamani sana.
Mwenyewe eti unajiona mjanjaaaa kwa kukwepa kulipa sh 400.
Huo ni umasikini wa hali ya juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia za CCM mkuuHuo uhuni wa kizamani sana.
Mwenyewe eti unajiona mjanjaaaa kwa kukwepa kulipa sh 400.
Huo ni umasikini wa hali ya juu.
Dih, nimecheka sana! You made my afternoon! Mi ni mpandaji wa daladala mzuri sana.ANGALIZO.
- Epuka kupanda Daladala ambalo halijaa kwani utaumbuka kiurahisi sana bali subiria Daladala lenye nyomi / lililojaa ndiyo ulipande.
- Ukishaona Kondakta anaanza kuchukua nauli jifanye unaongea sana na Simu tena kwa Sauti kubwa huku ukiwa ' Seriuos ' kabisa halafu humtizami Kondakta. Mara nyingi sana Makondakta huwasau Watu ( Abiria ) wanaoongea sana na Simu katika Madaladala hadi kupelekea kusahau kuwadai nauli.
- Ikitokea alikupita wakati anachukua nauli akirudi Kwako na kukudai ' mkazie ' mimacho yako huku ukimuangalia ambapo Makondakta wengi hujawa na ' aibu ' kama si ' uwoga ' na kuondoka zao.
- Ukiona kaanza kuchukua nauli siti za mbele Wewe anza taratibu kujifanya kama vile unaonyesha unataka kushuka Kituo cha mbele na ukiona unakaribia kukutana nae katikati anzisha ' zogo ' la kuwataka abiria wenzako mliosimama wasogee kisha haraka sana ' Kiaina ' unahamia kule ambako Kondakta ameshamaliza kuchukua nauli.
- Pima saikolojia na Dereva na Kondakta wake ambapo ukiona wote wanapenda nyimbo za Seduce Me au Zilipendwa tiririka nazo kwa kuzisifia na kuzizungumzia sana au ukiona Dereva na Kondakta wake wanapenda sana mpira serereka na hizo hizo stori za akina Tshishimbi au Niyonzima na automatically tu utaona Kondakta au Dereva wamejenga Urafiki wa ghafla nawe na watasahau hata kukudai nauli yao.
- Pendelea sana kujifanya unasinzia ndani ya Daladala kwani mara nyingi sana Makondakta huwa wakiona Watu wamelala huwapita Kwanza ambapo akishamalizana na kule alikochukua nauli yake akirudi tena huku anakuwa amesahau.
- Kama hiyo njia mnayopita ina ' Yange Yange / Matrafiki ' wengi hakikisha kila mnapowapita basi Wewe unajifanya hata tu unawapungia mkono hao ' Matrafiki ' na kila unapomaliza kuwapungia mkono / kuwasalimia hakikisha macho yako yanamtizama Kondakta kitendo ambacho kitamfanya Yule Kondakta ahisi labda Wewe ni Askari au unaweza ' Kumlengesha ' kwa Matrafiki wengine wa mbele hivyo automatically tu utaona anakupita au hata akikupigisha stori lakini akiwa ni muoga muoga na hatothubutu kukuomba nauli.
Hizi mbinu zitanoga endapo tu na Wewe basi mfukoni mwako una hata akiba ya Tsh 800/=. lakini kama ukizitumia halafu dili ' likabuma ' na ukashtukiwa unaweza ukaumbuka vibaya na kuishia tu Polisi na kufanya Kazi ya kufagia na kupiga deki hadi jioni.
Nawatakieni ukwepaji ulipaji nauli mwema Kesho asubuhi kwa tunaoamka na kutumia ' Daladala ' kwa ajili ya usafiri wa kutupeleka katika mihangaiko yetu na kwa wale ambao hizi mbinu Kuu Saba ( 7 ) zitwasaidieni msione aibu kuja kuniletea ' mrejesho / feedback '.
ONYO
Kuna wale ambao ni Mabingwa wa Kukopi na Kupesti kila ' Nyuzi ' nzuri ambayo GENTAMYCINE anakuja nayo humu JF na kuzifanya ni zao na kuzitumia katika ' Viblogu ' vyao kama si ' Viwebusaiti ' vyao. Tafadhalini hata Mimi huwa naumiza mno Kichwa kuja na ' taarifa ' mvuto kama hizi hivyo nawaombeni tu mkiikopi hii kitu fanyeni acknowledgement ama Kwangu Mimi GENTAMYCINE mwenyewe au huu ' Mtandao ' wangu pendwa wa JamiiForums nitawashukuruni mno.
Nawasilisha.
Yes.Ndiyo hivyo Mkuu tunapunguza kidogo ' makali ' ya ugumu wa maisha. Hata hivyo hizo mbinu hazifai kuzitumia kila siku ila kwa siku mbili tatu siyo mbaya.
Dih, nimecheka sana! You made my afternoon! Mi ni mpandaji wa daladala mzuri sana.
Nielekeze namna ya kukwepa nauli Kwenye Bombardier
Sent From My Nokia Ya Tochi
Shida yote ya nini. Kuna daladala zinamilikiwa na Mwarabu, ukiziona panda tu maana ushalipiwa yakhe...ANGALIZO.
- Epuka kupanda Daladala ambalo halijaa kwani utaumbuka kiurahisi sana bali subiria Daladala lenye nyomi / lililojaa ndiyo ulipande.
- Ukishaona Kondakta anaanza kuchukua nauli jifanye unaongea sana na Simu tena kwa Sauti kubwa huku ukiwa ' Seriuos ' kabisa halafu humtizami Kondakta. Mara nyingi sana Makondakta huwasau Watu ( Abiria ) wanaoongea sana na Simu katika Madaladala hadi kupelekea kusahau kuwadai nauli.
- Ikitokea alikupita wakati anachukua nauli akirudi Kwako na kukudai ' mkazie ' mimacho yako huku ukimuangalia ambapo Makondakta wengi hujawa na ' aibu ' kama si ' uwoga ' na kuondoka zao.
- Ukiona kaanza kuchukua nauli siti za mbele Wewe anza taratibu kujifanya kama vile unaonyesha unataka kushuka Kituo cha mbele na ukiona unakaribia kukutana nae katikati anzisha ' zogo ' la kuwataka abiria wenzako mliosimama wasogee kisha haraka sana ' Kiaina ' unahamia kule ambako Kondakta ameshamaliza kuchukua nauli.
- Pima saikolojia na Dereva na Kondakta wake ambapo ukiona wote wanapenda nyimbo za Seduce Me au Zilipendwa tiririka nazo kwa kuzisifia na kuzizungumzia sana au ukiona Dereva na Kondakta wake wanapenda sana mpira serereka na hizo hizo stori za akina Tshishimbi au Niyonzima na automatically tu utaona Kondakta au Dereva wamejenga Urafiki wa ghafla nawe na watasahau hata kukudai nauli yao.
- Pendelea sana kujifanya unasinzia ndani ya Daladala kwani mara nyingi sana Makondakta huwa wakiona Watu wamelala huwapita Kwanza ambapo akishamalizana na kule alikochukua nauli yake akirudi tena huku anakuwa amesahau.
- Kama hiyo njia mnayopita ina ' Yange Yange / Matrafiki ' wengi hakikisha kila mnapowapita basi Wewe unajifanya hata tu unawapungia mkono hao ' Matrafiki ' na kila unapomaliza kuwapungia mkono / kuwasalimia hakikisha macho yako yanamtizama Kondakta kitendo ambacho kitamfanya Yule Kondakta ahisi labda Wewe ni Askari au unaweza ' Kumlengesha ' kwa Matrafiki wengine wa mbele hivyo automatically tu utaona anakupita au hata akikupigisha stori lakini akiwa ni muoga muoga na hatothubutu kukuomba nauli.
Hizi mbinu zitanoga endapo tu na Wewe basi mfukoni mwako una hata akiba ya Tsh 800/=. lakini kama ukizitumia halafu dili ' likabuma ' na ukashtukiwa unaweza ukaumbuka vibaya na kuishia tu Polisi na kufanya Kazi ya kufagia na kupiga deki hadi jioni.
Nawatakieni ukwepaji ulipaji nauli mwema Kesho asubuhi kwa tunaoamka na kutumia ' Daladala ' kwa ajili ya usafiri wa kutupeleka katika mihangaiko yetu na kwa wale ambao hizi mbinu Kuu Saba ( 7 ) zitwasaidieni msione aibu kuja kuniletea ' mrejesho / feedback '.
ONYO
Kuna wale ambao ni Mabingwa wa Kukopi na Kupesti kila ' Nyuzi ' nzuri ambayo GENTAMYCINE anakuja nayo humu JF na kuzifanya ni zao na kuzitumia katika ' Viblogu ' vyao kama si ' Viwebusaiti ' vyao. Tafadhalini hata Mimi huwa naumiza mno Kichwa kuja na ' taarifa ' mvuto kama hizi hivyo nawaombeni tu mkiikopi hii kitu fanyeni acknowledgement ama Kwangu Mimi GENTAMYCINE mwenyewe au huu ' Mtandao ' wangu pendwa wa JamiiForums nitawashukuruni mno.
Nawasilisha.
800 yako itakuokoaIkibuma je?
mambo mengine ni kujifurahisha tu kama stori....wacha kufikiri saaaaana.Huu ni uselamavi uliopitwa na wakati.
Zilipendwa.
Mkuu nilianzisha thread ya kuomba watu wajitokeze naanzisha stand up comedy gala soon na itakua mziki mnene kuzunguka mikoani na nchi jirani mbona hukujitokeza? Au wewe ni mwandishi tu uwe unaniuzia hizi mambo aisee nataka kufanya mapinduzi ya stand up comedy bongo nataka nisign in kama watu watano tu niwachezesheANGALIZO.
- Epuka kupanda Daladala ambalo halijaa kwani utaumbuka kiurahisi sana bali subiria Daladala lenye nyomi / lililojaa ndiyo ulipande.
- Ukishaona Kondakta anaanza kuchukua nauli jifanye unaongea sana na Simu tena kwa Sauti kubwa huku ukiwa ' Seriuos ' kabisa halafu humtizami Kondakta. Mara nyingi sana Makondakta huwasau Watu ( Abiria ) wanaoongea sana na Simu katika Madaladala hadi kupelekea kusahau kuwadai nauli.
- Ikitokea alikupita wakati anachukua nauli akirudi Kwako na kukudai ' mkazie ' mimacho yako huku ukimuangalia ambapo Makondakta wengi hujawa na ' aibu ' kama si ' uwoga ' na kuondoka zao.
- Ukiona kaanza kuchukua nauli siti za mbele Wewe anza taratibu kujifanya kama vile unaonyesha unataka kushuka Kituo cha mbele na ukiona unakaribia kukutana nae katikati anzisha ' zogo ' la kuwataka abiria wenzako mliosimama wasogee kisha haraka sana ' Kiaina ' unahamia kule ambako Kondakta ameshamaliza kuchukua nauli.
- Pima saikolojia na Dereva na Kondakta wake ambapo ukiona wote wanapenda nyimbo za Seduce Me au Zilipendwa tiririka nazo kwa kuzisifia na kuzizungumzia sana au ukiona Dereva na Kondakta wake wanapenda sana mpira serereka na hizo hizo stori za akina Tshishimbi au Niyonzima na automatically tu utaona Kondakta au Dereva wamejenga Urafiki wa ghafla nawe na watasahau hata kukudai nauli yao.
- Pendelea sana kujifanya unasinzia ndani ya Daladala kwani mara nyingi sana Makondakta huwa wakiona Watu wamelala huwapita Kwanza ambapo akishamalizana na kule alikochukua nauli yake akirudi tena huku anakuwa amesahau.
- Kama hiyo njia mnayopita ina ' Yange Yange / Matrafiki ' wengi hakikisha kila mnapowapita basi Wewe unajifanya hata tu unawapungia mkono hao ' Matrafiki ' na kila unapomaliza kuwapungia mkono / kuwasalimia hakikisha macho yako yanamtizama Kondakta kitendo ambacho kitamfanya Yule Kondakta ahisi labda Wewe ni Askari au unaweza ' Kumlengesha ' kwa Matrafiki wengine wa mbele hivyo automatically tu utaona anakupita au hata akikupigisha stori lakini akiwa ni muoga muoga na hatothubutu kukuomba nauli.
Hizi mbinu zitanoga endapo tu na Wewe basi mfukoni mwako una hata akiba ya Tsh 800/=. lakini kama ukizitumia halafu dili ' likabuma ' na ukashtukiwa unaweza ukaumbuka vibaya na kuishia tu Polisi na kufanya Kazi ya kufagia na kupiga deki hadi jioni.
Nawatakieni ukwepaji ulipaji nauli mwema Kesho asubuhi kwa tunaoamka na kutumia ' Daladala ' kwa ajili ya usafiri wa kutupeleka katika mihangaiko yetu na kwa wale ambao hizi mbinu Kuu Saba ( 7 ) zitwasaidieni msione aibu kuja kuniletea ' mrejesho / feedback '.
ONYO
Kuna wale ambao ni Mabingwa wa Kukopi na Kupesti kila ' Nyuzi ' nzuri ambayo GENTAMYCINE anakuja nayo humu JF na kuzifanya ni zao na kuzitumia katika ' Viblogu ' vyao kama si ' Viwebusaiti ' vyao. Tafadhalini hata Mimi huwa naumiza mno Kichwa kuja na ' taarifa ' mvuto kama hizi hivyo nawaombeni tu mkiikopi hii kitu fanyeni acknowledgement ama Kwangu Mimi GENTAMYCINE mwenyewe au huu ' Mtandao ' wangu pendwa wa JamiiForums nitawashukuruni mno.
Nawasilisha.
Kama hiyo njia mnayopita ina ' Yange Yange / Matrafiki ' wengi hakikisha kila mnapowapita basi Wewe unajifanya hata tu unawapungia mkono hao ' Matrafiki ' na kila unapomaliza kuwapungia mkono / kuwasalimia hakikisha macho yako yanamtizama Kondakta kitendo ambacho kitamfanya Yule Kondakta ahisi labda Wewe ni Askari au unaweza ' Kumlengesha ' kwa Matrafiki wengine wa mbele hivyo automatically tu utaona anakupita au hata akikupigisha stori lakini akiwa ni muoga muoga na hatothubutu kukuomba nauli.
Nakumbuka kipind nasoma Lake secondaryZijaribu tu Mkuu hizo Saba ( 7 ) nina uhakika moja wapo ukiipatia vizuri utaokoa sana Tsh 400/= au Tsh 800/= daily.