Zijue mbinu za Kisasa za Kumkwepa kumlipa nauli Kondakta katika Daladala

Zijue mbinu za Kisasa za Kumkwepa kumlipa nauli Kondakta katika Daladala

ukitaka usilipe nauli,wakati unaingia kwenye daladala mwambie kondakta kituo unachoshukia alafu anza kupiga stori na abiria jirani yako then jidai umezimia ghafla,hakikisha kabla aujazimia haupo mbali na kituo unachoshukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilianzisha thread ya kuomba watu wajitokeze naanzisha stand up comedy gala soon na itakua mziki mnene kuzunguka mikoani na nchi jirani mbona hukujitokeza? Au wewe ni mwandishi tu uwe unaniuzia hizi mambo aisee nataka kufanya mapinduzi ya stand up comedy bongo nataka nisign in kama watu watano tu niwachezeshe

Kama una Hela nitafute tufanye Kazi kwani kwa ninavyojijua mwenyewe kwa Ukomedi tu labda ni akina Chale Chaplini na Mr. Bini ndiyo kidogo wanaweza wakanizidi ila nina Kipaji cha Kuzaliwa cha Ukomedi kiwe ni cha kuandika au cha Kuzungumza au Kuigiza pia. Kazi Kwako!
 
Nipo hapa kwenye daladala, round ya kwanza imenipita huenda ni bahati yangu kwa leo
 
Na ikitokea umezitumia hizo mbinu zote Saba ( 7 ) halafu bado tena ' zikabuma ' basi jua Wewe utakuwa na bonge la ' Gundu '. Hizo mbinu ' Kondakta ' yoyote yule hata afanyeje hachomoki.
Hu hu hu huu! Jidanganye/wadanganye.. Ataye jaribu hiyo bahati nasibu na ikambumia hiyo nyuzi joto ake.. [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukoo wako wote.
Si tatizo. Wewe gentamycine kama ndo umeleta hiyo post ya kufunza watu how to make mistakes that may led them into quencequence sijutii kauli yangu ni bora unisamehe tu kama nimekukwaza.
Ulistahili uje na post ya kuwakanya watu kufanya hayo. Wengi wafanyayo hayo ni wanafunzi imagine kakamatwa kapigwa na makonda hadi kufa huoni mbinu unazosambaza humu zimechangia hayo.
Kama ni mtu mzima mwenye familia hustahili kuhamasisha uovu kama huu. Jitafakari upya haijalishi mimi nitakuwa foolish na ukoo wangu wote ama laaa!.
Hili jukwaa lisaidie kushape jamii siyo kubomoa. Post ni ya kuhamasisha ujinga ktk jamii siwezi kuiafiki.

Hopeless comments from a hopeless fella.
 
Mbinu kali kuliko zote we nyoa KIPARA na kama una ndevu NYOA then ukae utulie kimya ndani ya daladala,, konda akikukaribia ata usimuangalie jifanye unaaangalia nje au unachezea chezea simu yako,,,,,, konda apo kamwe hawez kukudai nauli atajua tuu we ni askari,,ATAKUPITA ,,,,
It works 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una Hela nitafute tufanye Kazi kwani kwa ninavyojijua mwenyewe kwa Ukomedi tu labda ni akina Chale Chaplini na Mr. Bini ndiyo kidogo wanaweza wakanizidi ila nina Kipaji cha Kuzaliwa cha Ukomedi kiwe ni cha kuandika au cha Kuzungumza au Kuigiza pia. Kazi Kwako!
Mkuu kama unasema kweli subiri michakato ikae sawa then ntaku-pm maana ndo niko kwenye process na tayari nimeshanunua voxy kama usafiri wa comedians wangu kwenda mikoa kupiga kazi. Bado kuibrand tu nasubiri mambo ya usajili yaishe ili tusikimbizane na magu. I hope unatunga mwenyewe sio zile copy paste za kutoka internet
 
Nitake radhi upesi Mkuu. Nimekuambia kuwa Ukomedi upo damuni mwangu na kama ungebatika kukutana na Wanafunzi niliosoma nao kuanzia Primary na hadi University wangekuambia vizuri. Na Kipaji hiki nimekirithi kutoka Kwa Baba, Babu na Bibi yangu. Nikipata tu platform nzuri Watanzania mnaweza mkawasahau hawa Makomedi wenu na kila siku mkawa mnatibu tu mbavu zenu kwa Kucheka.
 
Kweli magu kabana, heka heka zote kisa kubana mia 400 loooo!!! Hata vocha ya tigo hununui

Kumbukq wizi ni dhambi
 
UKWEPAJI NAULI NILIUFANYA SANA NIKIWA SEKONDARI. INGAWA NAULI ILIKUWA SH 50 LAKIN MARA NYINGI SIKULIPA.

ULIKUWA UTOTO. ILA KWA SASA KONDA AKISAHAU KUCHUKUA NAULI NAMKUMBUSHA.

MTU MZIMA NA ALIYEBALEHE VEMA KABISAA, HAWEZ KUKWEPA NAULI, NI KUJIENDEKEZA UTAPELI, WIZI NA UMASKINI

Joseverest GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom