Zijue mbinu za Kisasa za Kumkwepa kumlipa nauli Kondakta katika Daladala

Njia nyingine pendelea kushuka karibu na vituo vya polisi au Kambi za jeshi kondakta ataogopa kukudai akidhani ni askari

Njia hii imenisaidia Sana songea nilipokuwa nashukia Ruhuwiko (NMC) watu walidhan me mwanajeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dih, nimecheka sana! You made my afternoon! Mi ni mpandaji wa daladala mzuri sana.
 
Ndiyo hivyo Mkuu tunapunguza kidogo ' makali ' ya ugumu wa maisha. Hata hivyo hizo mbinu hazifai kuzitumia kila siku ila kwa siku mbili tatu siyo mbaya.
Yes.
Hivi watu hawajiulizi kwanini mpaka afisa wa jeshi akipanda daladala kwa dharura anatamani asilipe nauli huku ana mshahara na posho yenye ahueni!!!!
 
Nielekeze namna ya kukwepa nauli Kwenye Bombardier

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Dih, nimecheka sana! You made my afternoon! Mi ni mpandaji wa daladala mzuri sana.

Wewe ukicheka au Wote mkicheka ndiyo furaha yangu kubwa GENTAMYCINE kwani najua sasa maisha ni magumu na Watu mnapambana kuitafuta ' Senti ' hivyo wengi wenu huwa mnakuwa na mawazo hivyo huamua ' Kuwachekesha / Kuwafurahisha ' ili siku zenu ziende vyema. Napenda mno Kuwachangamsha Watu na sipendi kuona Watu wakiwa na mawazo au masikitiko.
 
Nielekeze namna ya kukwepa nauli Kwenye Bombardier

Sent From My Nokia Ya Tochi

Kamuulize Bibi yako huko Kyaka Nkunde na Ikupilipa Nkoba Village atakuelekeza vizuri.
 
Shida yote ya nini. Kuna daladala zinamilikiwa na Mwarabu, ukiziona panda tu maana ushalipiwa yakhe...
 
Tanzania ya viwanda twende kazi

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
Mkuu nilianzisha thread ya kuomba watu wajitokeze naanzisha stand up comedy gala soon na itakua mziki mnene kuzunguka mikoani na nchi jirani mbona hukujitokeza? Au wewe ni mwandishi tu uwe unaniuzia hizi mambo aisee nataka kufanya mapinduzi ya stand up comedy bongo nataka nisign in kama watu watano tu niwachezeshe
 


Hii kiboko
 
Zijaribu tu Mkuu hizo Saba ( 7 ) nina uhakika moja wapo ukiipatia vizuri utaokoa sana Tsh 400/= au Tsh 800/= daily.
Nakumbuka kipind nasoma Lake secondary
Nilikuwa silipi nauli ovyo ovyo njia niliyokuwa natumia ni hii.
Ukiwa kwenye daladala, konda akikuomba nauli unamwambia nitakupa, hapa nilipo nimekaa vibaya. Sasa unasubiria kipind mefika kituon, abiria wanashuka wote, hapo hapo unajichanganya kwa abiria nduki.
Kipind kile nauli ilikuwa 50-100 kwa mwanafunz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…