Pancho panchilo
Senior Member
- May 18, 2017
- 121
- 95
Usawa huu sheikh wangu acha tu, hakuna jinsi.Acheni upuuzi, yaani ufanye yote hayo kwa ajili ya kukwepa nauli ya daladala? Yaani upoteze ma muda kabisa eti usubiri daladala lililojaa ili usilipe nauli! Kwa nini usitumie hiyo akili kwenye kazi yako ukajiongezea kipato
Mkuu nilianzisha thread ya kuomba watu wajitokeze naanzisha stand up comedy gala soon na itakua mziki mnene kuzunguka mikoani na nchi jirani mbona hukujitokeza? Au wewe ni mwandishi tu uwe unaniuzia hizi mambo aisee nataka kufanya mapinduzi ya stand up comedy bongo nataka nisign in kama watu watano tu niwachezeshe
Aisee nimetoka mbio za harmo swalaPole sana Mkuu. Vipi hujasafisha veranda na vyoo vya Polisi?
Hu hu hu huu! Jidanganye/wadanganye.. Ataye jaribu hiyo bahati nasibu na ikambumia hiyo nyuzi joto ake.. [emoji12] [emoji12] [emoji12]Na ikitokea umezitumia hizo mbinu zote Saba ( 7 ) halafu bado tena ' zikabuma ' basi jua Wewe utakuwa na bonge la ' Gundu '. Hizo mbinu ' Kondakta ' yoyote yule hata afanyeje hachomoki.
Si tatizo. Wewe gentamycine kama ndo umeleta hiyo post ya kufunza watu how to make mistakes that may led them into quencequence sijutii kauli yangu ni bora unisamehe tu kama nimekukwaza.Ukoo wako wote.
Si tatizo. Wewe gentamycine kama ndo umeleta hiyo post ya kufunza watu how to make mistakes that may led them into quencequence sijutii kauli yangu ni bora unisamehe tu kama nimekukwaza.
Ulistahili uje na post ya kuwakanya watu kufanya hayo. Wengi wafanyayo hayo ni wanafunzi imagine kakamatwa kapigwa na makonda hadi kufa huoni mbinu unazosambaza humu zimechangia hayo.
Kama ni mtu mzima mwenye familia hustahili kuhamasisha uovu kama huu. Jitafakari upya haijalishi mimi nitakuwa foolish na ukoo wangu wote ama laaa!.
Hili jukwaa lisaidie kushape jamii siyo kubomoa. Post ni ya kuhamasisha ujinga ktk jamii siwezi kuiafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Hopeless comments from a hopeless fella.
Mkuu kama unasema kweli subiri michakato ikae sawa then ntaku-pm maana ndo niko kwenye process na tayari nimeshanunua voxy kama usafiri wa comedians wangu kwenda mikoa kupiga kazi. Bado kuibrand tu nasubiri mambo ya usajili yaishe ili tusikimbizane na magu. I hope unatunga mwenyewe sio zile copy paste za kutoka internetKama una Hela nitafute tufanye Kazi kwani kwa ninavyojijua mwenyewe kwa Ukomedi tu labda ni akina Chale Chaplini na Mr. Bini ndiyo kidogo wanaweza wakanizidi ila nina Kipaji cha Kuzaliwa cha Ukomedi kiwe ni cha kuandika au cha Kuzungumza au Kuigiza pia. Kazi Kwako!
Mkuu kama unasema kweli subiri michakato ikae sawa then ntaku-pm maana ndo niko kwenye process na tayari nimeshanunua voxy kama usafiri wa comedians wangu kwenda mikoa kupiga kazi. Bado kuibrand tu nasubiri mambo ya usajili yaishe ili tusikimbizane na magu. I hope unatunga mwenyewe sio zile copy paste za kutoka internet