Zijue mbwembwe za mawakili

Unasema hudhani,bado unataka tuuchukulie maanani mtazamo wako!

Tukushangae sasa eti??
Ila uliyosema wewe ukidai ni mtazamo wako ndio tuuchukulie maanani! Huenda najibishana na mpumbavu.
 
Vipi tetesi za tabia ya kula pande mbili na wakili wa adui zinaukweli wowowte?
Ukweli upo, mawakili wa Tanzania lazima uwasimamie. Kuanzia intent to sue, plaint na watapoingia kwenye kesi. Lazima uwepo na wewe ujisomee na uwaulize kwanini wanasimamia hoja zao na wakupe kesi za mifano.
Zipo nyingi.
Mawakili wengi Tanzania ni matapeli. Zaidi ya 75% ni matapeli.
 
Alaa! Kumbe? Hapo kwenye "tuma sms" naona nakaribia kuwa qualified wakili msomi.
 
Hao jamaa naskia kabla ya kuanza kesi lazima umpe hela in advance alaf baadae kias kidogo kilochobak ndo ummalizie. Na pia wana tabia ya kula kuwili esp kama opponent wako ni mtu mzito alaf ww ndo unadhulumiwa (kesi imaku favour). Atakuja na mbiringe za kukutisha ili uache kesi apige hela.


All in all ni matapeli, waongo waganga njaa.
 
Duh
 
Kila siku ya kesi nauli 200k
 
-ukitaka kuisimamia Plaint unafanyaje kwani?
- na ukiwasimamia kwenye kesi unafanyaje mkuu?
 
- mimi nadhani kama ni waongo na matapeli naona ni bora ujaribu kuendesha kesi mwenyewe.
 
Ujinga Sana huu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kawaida ni kuwa unatakiwa kulipa hela yote wakati wa kumpa kazi (engagement) ndipo aanze kazi, hiyo ya kulipana kidogokidogo ni uungwana tubwa mawakili kwa kuzingatia uchumi wa Tanzania.

Malipo ya awali ni kama vile unavyosafiri kwa basi, unalipa kwanza nauli yote ndio unapewa tiketi ili usafiri (nauli kwanza safari baadae), au kumuona daktari, unalipa kwanza hela ndipo umuone akuhudumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…