Zijue mbwembwe za mawakili

Hapana,kikubwa ni kutafuta connection ya walioiva.Hujui mjini kila kitu ni connection??
Wale wazuri hawapatikani hivihivi!
Utajua vipi zaidi ya hawa wako magazetini kila siku kesi zao za wanasiasa.
Kila siku kazi yao kutetea upuuzi kucomplicate mambo kesi kuahirishwa wao hata mwaka kushinda mahakamani poa.
Yupo huyo nguli mbabaishaji sasa kavamia kesi ya yule jamaa aliyepinga tozo.
 
Ungepigwa kama mandonga hivihiv
 
Wapi Adv Mbogo
 
Mawakili walio serious na kazi zao wapo wengi sana japo wababaishaji wapo pia

Nakumbuka niliwahi fanya kosa ambalo hata kwa wewe usiye wakili ilitosha kujua kuwa mimi naingia jela tena si chini ya miaka 40 ila kuna mwamba wakili msomi alisimama na mimi mpaka leo niko free

Kuhusu mbwembwe sio wote japo baadhi wako hivyo

Malipo yalikuwa ya kawaida sana kwake
 
Ilikuwaje
 
Mheshimiwa, naona kuna sehemu umejielekeza vibaya. Defects nyingi ambazo mawakili wasomi huwa wanaweka mapingamizi ni zile ambazo haziwezi kurekebishika hata kwa kutumia Oxygen principle.

Mfano unakuta mtu kafungua kesi kwenye mahakama ambayo haina jurisdiction ku determine the matter, Au unakuta mtu kafungua kesi nje ya muda bila kufuata procedures zilizowekwa na sheria.

Kitu kingine cha kukumbuka, hiyo Oxygen principle sio Panacea ndiyo maana Kuna circumstances nyingi tu wazee wa mahakama ya rufani wamegoma ku invoke oxygen principle, mfano angalia kesi ya SGS Societe Generale de surveillance SA and another v. VIP Engineering & Marketing Ltd and another,( CAT, Civ appeal no 124,2017).

Kuhusu mbwembwe sidhani kama wanazo sana, Vitu vingi wanavyofanya ni professional Yao ndo inawahitaji wafanye hivyo japo sisi watu wa kada nyingine tunaweza kutafsiri kama mikwara.

Mfano mdogo tu, nakumbuka miaka kadhaa nyuma nikiwa college watu waliokuwa wanasoma sheria ndiyo waliokuwa wanaongoza kuvaa vizuri na kuwa maridadi, Sisi tuliokuwa tunasoma taaluma zingine tulikuwa tunawaona kama vile wanajidai, lakini baadae ndo nikajua kujua kumbe Ile ilikuwa ni mahitaji ya professional Yao.

Ni hayo tu.
 
Hivi ni Kwanini wanabeba begi la nguo? Zinakuwa za nn? Au sio nguo ni makablasha tu ya kesi
 
Hakuna kitu, ukiishi nchi nyingine hasa zilizoendelea, utagundua kuwa uonevu na untanywasaji wa watu katika nchi fulani, huenda sambamba na uweledi wa judiciary ya nchi hiyo pamoja na uwakilishi na utetezi kutoka kwa wanasheria wa serikali au binafsi.
Tanzania haki kuipata na kyipoteza ni kitu rahisi mno, based on my experiences. Ni vile tu watanzania wengi ni watu wa peace sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…