Zijue mbwembwe za mawakili

Mkuu nakubaliana na Wewe Huwa naona pingamizi la Kisheria Huwa tunapoteza muda. Nikupe mkasa wangu kulikuwa na shauri Baraza la Kata nikashinda ukapita muda rufaa jamaa akakata rufaa Baraza la ardhi wilaya kukata rufaa nnje ya muda ila akakosea kiapo, wakili akaweka pingamizi la Kisheria tukashinda kesi Kwa gharama. Akakata rufaa Tena nnje ya Muda japo alikosea Tena ila nikamwambia wakili tumuache twende kwenye kesi ya Msingi, akahonga na akashinda rufaa. Akafungua Tena kesi ya Msingi ya kupinga Maamuzi ya Baraza la Kata hapa napo nimemshinda Kwa gharama. Sasa amekata Tena rufaa mahakama kuu ndio namsikilizia. Kwahiyo ninacho kiona mapingamizi ya Kisheria Huwa yanapoteza muda tuu japo tulishinda Kwa gharama.
 
-itategemea na pingamizi, kama pingamizi liko kwenye Pure point of law as eshrined kwenye Mukisa Biscuit Case, hilo Lina msingi
 
Duh
 
-itategemea na pingamizi, kama pingamizi liko kwenye Pure point of law as eshrined kwenye Mukisa Biscuit Case, hilo Lina msingi
Ni kweli, pingamizi liwe lile linalomaliza kesi na sio linayoiondosha ili irudishwe upya ikiwa imenyooka (kwamba mfunguaji bado anakuwa na nafasi ya kurudisha kesi).

Kuna vitu vingine ni vidogo na visivyo na madhara kihivyo sio vya kupoteza muda kuweka maPO, ni kutoa angalizo na hapohapo mtu avirekebishe muende kwenye MERIT.
 
Asante kwa maelezo wakili msomi
 
Ni kazi moja nzuri sana kwa sababu inamhitaji mtu kuwa na maadili sawa tu kama walivyo watumishi wa Mungu kwenye nyumba za Ibada. Hii kazi mtu kama hana maadili, hawezi kufanya, isipokuwa anaweza akaishia kwenda jela tu tena miaka mingi sana kuzidi hata hata wale ambao alishawahi kuwashinda kesi
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒβœ”οΈ
 
Ati nn
 
Wengine wanatulia pesa zetu tu na wanajiita wakili msomi
 
FEI TOTO kalingundua hili leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…