Zijue MISSION 09 za KBG (FSB sasa) ambazo kama baadhi zingefanikiwa Dunia ingekuwa tofauti na leo


Mmmaaa!!!!!!!! si mambo ya kuzunguukana na kuchomana hayo , sasa kama mnafanya kazi kwa lengo moja ya nini kufuatiliana aah nabaki nyumbani tu loooh, Mkuu nisaidie inawezekana ndani ya kampuni au shirika kuwepo hao? na wanalipwaje sasa wakati kisheria hakuna ajira mbili kwa mtu mmoja?
 

Basi ngoja nikajiunge na chuo cha Tengeru miaka mitatu nimefuzu u bwana shamba wa wilaya au siku hizi cheo hicho hakipo?
 

Unafwatiliwa ili usihame reli.

Kwenye mashirika wapo informer tu.ambao hawasomeki kama wana ajira mbili.
 
sasa mshahara wanalipwaje na wale wa kule waliomtuma?
hiyo kazi ni balaa, ukisha ingia hutoki na wakistuka hueleweki kidogo tu umepotezwa. mara nyingi huwezi kumjua msimamizi wako anaekupa maelekezo leo kukurecruit. ni kawaida usimwone tena, unastukia unapewa maagizo na mtu tofauti. kazi hiyo ni hatari usipime, fuatilia novels za u spy. maana hawa jamaa zetu westerners, asilimia kubwa ya story zao wanaandika kutokana na story na systems halisia. wanachuja tu ambazo zipo updated.
 
Mkuu kweli nimepitia story ya levynyenko alikuwa sumu ya poronium
 
Sawa lakini jiheshimu, acha kukoti habari yoooote mnatusumbua sana
 
Haaaaaaaaaaaaa mlongu unatamanisha sawaaaaa haaaaa vip ngogo bado msimu wake??
 
Mmiliki wa KGB, CIA, FBI, MOSAD, ISIS, wakina alqaida, Alshabab, na vikosi vingine vya siri vyote vinamilikiwa na Mtu mmoja na wana mission zinazofanana, kwa nje wamejibrand kwamba wametofautiana lakini mfadhili ni mmoja na boss wao ni mmoja. akiona uhitaji wa kuanzisha vikosi vingine hufanya hivyo chapu...akina LRA, vile vya naigeria, congo nk. Ukweli ni kwamaba hao ndio waliofikisha dunia hapa ilipo na bado watatupeleka sana hata kufikia uangamivu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…