comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
[emoji2] kutokujuana ndio ufanisi wa kazi unayopewa.
Yaani unarudisha ripoti makao ya kitengo nchi uliyopo. unaambiwa urudi nchini kwako kwa rikizo ukaripoti ofisi flani,[emoji53] [emoji53] ghafla unakutana na jamaa ambaye alikupora begi stand ya basi likiwa na dokumenti zako ulizotumia kusafiria ile nchi ulikokuwepo[emoji2] ukamkimbiza bila mafanikio nayeye kaja kuripoti hapo.manabaki kushangaana.
Mmmaaa!!!!!!!! si mambo ya kuzunguukana na kuchomana hayo , sasa kama mnafanya kazi kwa lengo moja ya nini kufuatiliana aah nabaki nyumbani tu loooh, Mkuu nisaidie inawezekana ndani ya kampuni au shirika kuwepo hao? na wanalipwaje sasa wakati kisheria hakuna ajira mbili kwa mtu mmoja?