Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Uswahili uswahili unamaanisha nini mkuu?[emoji72]ukiona "PLATNUMZ" ujue bishoo fulani hivi mwenye uswahili-swahili mwingi licha ya kuwa na jina, mke mzuri, mijengo ya maana na mkwanja wa kumtosheleza yeye na jamaa zake
Asante!!Hizo zenye plate number nyeupe siyo tu ya biashara (maana hata fuso yaweza kuwa ya biashara) bali ni biashara na abiria mfano tax, bus n.k.
N.B: Nyota zote kwenye magari ya jeshi yanakaa kwenye kibao chekundu.Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:
1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu
2. S-Spika wa bunge
3. JM- Jaji mkuu
4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa
5. J- Jaji wa mahakama kuu
6. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)
7. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
8. CS- Katibu mkuu kiongozi
9. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata
10. NW-Naibu waziri
11. DFP-Donor's Fund project
12. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata
13. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
14. PT-Police of Tanzania
15. SM-Serikali za mitaa
16. CD- Magari ya ubalozini
17. SU-Shirika la umma.
18. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW
19. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum
NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.
*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....
Karibuni
Vipi kuhusu namba zinazoanza na CD rangi ya BLUU ns zile zinazoanza na CD rangi ya KIJANI??
CD sio Country Diplomat?Gari za DFP baada ya digit kujaa wakaaza kuweka A.
Gari za Ikulu ni ST namba Halafu A Baada ya digit kujaa, zamani ni ilikuwa ST na namba tu.
Ubalozi umepangwa kwa Alphabet mfano.
T3 Namba CD namba ni Algeria
T 4 Namba CD namba Angola
T 114 Namba CD namba UER Egypt
T 115 Namba CD namba UK
T 116 Namba CD namba USA
T 117 Namba CD namba USSR Russia
Nk, ata kama hakuna ubalozi T na namba inabaki wazi, inawezeka T moja mpaka sasa haitumiki ingawa balozi wa kwanza hapa ni mwingireza baada ya kukabidhi nchi
T NAMBA CC Badala CD ni balozi wa heshima,
T ni mpangilio wa alphabet CD Ni idadi ya magari balozi walizonazo ndio maana ukiangalia USA kwenye CD ana digit nyingi,
Balozi mwenyewe anatumia T Namba CDM 1,
CD Maana yake Car Diplomat
Angalia mtiririko mwingine
J, T 59 Japan
K T 60 kenya
K T 61 KOREA
Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi: