Gari za DFP baada ya digit kujaa wakaaza kuweka A.
Gari za Ikulu ni ST namba Halafu A Baada ya digit kujaa, zamani ni ilikuwa ST na namba tu.
Ubalozi umepangwa kwa Alphabet mfano.
T3 Namba CD namba ni Algeria
T 4 Namba CD namba Angola
T 114 Namba CD namba UER Egypt
T 115 Namba CD namba UK
T 116 Namba CD namba USA
T 117 Namba CD namba USSR Russia
Nk, ata kama hakuna ubalozi T na namba inabaki wazi, inawezeka T moja mpaka sasa haitumiki ingawa balozi wa kwanza hapa ni mwingireza baada ya kukabidhi nchi
T NAMBA CC Badala CD ni balozi wa heshima,
T ni mpangilio wa alphabet CD Ni idadi ya magari balozi walizonazo ndio maana ukiangalia USA kwenye CD ana digit nyingi,
Balozi mwenyewe anatumia T Namba CDM 1,
CD Maana yake Car Diplomat
Angalia mtiririko mwingine
J, T 59 Japan
K T 60 kenya
K T 61 KOREA