Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

ukiona "PLATNUMZ" ujue bishoo fulani hivi mwenye uswahili-swahili mwingi licha ya kuwa na jina, mke mzuri, mijengo ya maana na mkwanja wa kumtosheleza yeye na jamaa zake
Uswahili uswahili unamaanisha nini mkuu?[emoji72]
 
...kuna nyumba inangao getini ...
 
Gari za DFP baada ya digit kujaa wakaaza kuweka A.
Gari za Ikulu ni ST namba Halafu A Baada ya digit kujaa, zamani ni ilikuwa ST na namba tu.
Ubalozi umepangwa kwa Alphabet mfano.
T3 Namba CD namba ni Algeria
T 4 Namba CD namba Angola
T 114 Namba CD namba UER Egypt
T 115 Namba CD namba UK
T 116 Namba CD namba USA
T 117 Namba CD namba USSR Russia
Nk, ata kama hakuna ubalozi T na namba inabaki wazi, inawezeka T moja mpaka sasa haitumiki ingawa balozi wa kwanza hapa ni mwingireza baada ya kukabidhi nchi
T NAMBA CC Badala CD ni balozi wa heshima,
T ni mpangilio wa alphabet CD Ni idadi ya magari balozi walizonazo ndio maana ukiangalia USA kwenye CD ana digit nyingi,
Balozi mwenyewe anatumia T Namba CDM 1,
CD Maana yake Car Diplomat
Angalia mtiririko mwingine
J, T 59 Japan
K T 60 kenya
K T 61 KOREA
 
Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:

1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu

2. S-Spika wa bunge

3. JM- Jaji mkuu

4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa

5. J- Jaji wa mahakama kuu

6. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)

7. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali

8. CS- Katibu mkuu kiongozi

9. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata

10. NW-Naibu waziri

11. DFP-Donor's Fund project

12. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata

13. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar

14. PT-Police of Tanzania

15. SM-Serikali za mitaa

16. CD- Magari ya ubalozini

17. SU-Shirika la umma.

18. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW

19. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum

NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.

*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....

Karibuni
N.B: Nyota zote kwenye magari ya jeshi yanakaa kwenye kibao chekundu.
1. ****(nyota nne) Jenerali
2. ***(nyota tatu) Luteni Jenerali
3. **(nyota mbili) Meja Jenerali
4. *(nyota moja) Brigedia Jenerali
 
Nchi kama Albania au Afghanistan zikifungua ubalozi utaona zina T Na namba za mwanzo kabisa kama T 1 au T 2.
 
Gari za serikali zilianza na STA mpaka sasa kuna STL kinachobadilika ni alphabetical ya mwisho STA, STAB, STC Mpaka sasa ni STL
 
Vipi kuhusu namba zinazoanza na CD rangi ya BLUU ns zile zinazoanza na CD rangi ya KIJANI??

Zile za Blue Zote ni mashirika yalio chini ya Umoja wa Mataifa kwa mfano Unicef Unhcr Wfp
Kwa mfano T205 CD** ni UNHCR
 
Gari za DFP baada ya digit kujaa wakaaza kuweka A.
Gari za Ikulu ni ST namba Halafu A Baada ya digit kujaa, zamani ni ilikuwa ST na namba tu.
Ubalozi umepangwa kwa Alphabet mfano.
T3 Namba CD namba ni Algeria
T 4 Namba CD namba Angola
T 114 Namba CD namba UER Egypt
T 115 Namba CD namba UK
T 116 Namba CD namba USA
T 117 Namba CD namba USSR Russia
Nk, ata kama hakuna ubalozi T na namba inabaki wazi, inawezeka T moja mpaka sasa haitumiki ingawa balozi wa kwanza hapa ni mwingireza baada ya kukabidhi nchi
T NAMBA CC Badala CD ni balozi wa heshima,
T ni mpangilio wa alphabet CD Ni idadi ya magari balozi walizonazo ndio maana ukiangalia USA kwenye CD ana digit nyingi,
Balozi mwenyewe anatumia T Namba CDM 1,
CD Maana yake Car Diplomat
Angalia mtiririko mwingine
J, T 59 Japan
K T 60 kenya
K T 61 KOREA
CD sio Country Diplomat?

T 258 CD..... Hizi zilikuwa za mahakama ya mauaji ya kimbari(ICTR) kule Arusha.
T247CD.... Chuo Cha ESAMI(Eastern and Southern Africa Management Institute)
 
Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:

1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu

2. S-Spika wa bunge

3. JM- Jaji mkuu

4. JR- Jaji wa mahakama ya rufaa

5. J- Jaji wa mahakama kuu

6. XXXX-Mkuu wa majeshi(CDF)

7. CAG-Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali

8. CS- Katibu mkuu kiongozi

9. W mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata

10. NW-Naibu waziri

11. DFP-Donor's Fund project

12. ST-Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata

13. SMZ-Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar

14. PT-Police of Tanzania

15. SM-Serikali za mitaa

16. CD- Magari ya ubalozini

17. SU-Shirika la umma.

18. gari za jeshi pia zina namba zake ambazo zina vifupi vya JW

19. Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum

NYONGEZA:
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.

*mwenye nyongeza au masahihisho au vyote, aingie ulingoni tutoane ushamba, tuelimishane tusije tukatumia muda mrefu kuyashangaa magari yenye namba hizo mpaka tupate ajali. ....

Karibuni

Bora ili wenzetu wa dodoma wazifunze
 
Back
Top Bottom