RPC hana namba badala yake anatumia PT, pia mkuu wa wilaya hana anatumia ST, hivyo vyeo inaonekana vipo kisiasa,havitambuliki kikatiba, ndoo maana hata makonda anawafokea ma RPCPia kuna RC ya mkuu wa mkoa,RPC ya kamanda wa polisi mkoa,kuna JK=Jaji kiongozi n.k
Siyo. Zilianza DFP, namna zikafika nadhani 9999, hapo lazima ianze DFPA 0001, ikiisha itakuja DFPB.....DFP-A ni Donor Fund Project Africa
T 122 Cd ni ubalozi wa umoja wa nchi za ulaya.. EU EmbassyNamba za ubalozi kweli zina CD naT kwa hapa kwetu Ukiona T inamaani hizo ni gari za kibalozi lkn zimesajiliwa Tanzania. na "T" inawakilisha namba ya ubalozi usika mfano ukiona
T4 CD...Angola
T3CD...Algeria
T7cd....Belgium
T17cd...Canada
T25cd...Congo DRC
T37cd...Germany
T38cd...Finland
T39cd...ufaransa
T50cd...India
T54cd....Ireland
T60cd....Kenya
T61cd...S.Korea
T62cd...N.Korea
T22 CD..China
T67cd..Libya
T79cd...Uholanzi
T86cd....Malawi
T93cd...Rwanda
T115cd...British
T11cd...U S kwa Trump
T117cd....Urussi
T119cd....Uganda
T124cd...Zambia
T125cd....Zimbabwe
T254cd... South Africa n.k pia mfano ukiona labda ukiona T124 cd146 hii ni ubalozi wa Zambia lakini ni ya maafisa ubalozi. ila ukiona T124 CD 'M' ujue hii pia ni ubalozi wa Zambia lakini hii 'M' ni ya balozi mwenyewe ( mheshimiwa) kwa hiyo CD mbele namba za kawaida jua ni maafisa wa kawaida. lkn CD mbele M jua ni ya mwenyewe mshua. unaweza nawe ukachangia jambo kulingana na ujuavyo wewe pia, ndio tunafahamisha mambo hivyo.
Naona kama umechanganya mkuu, EU Embassy sioT211?T 122 Cd ni ubalozi wa umoja wa nchi za ulaya.. EU Embassy
True kiongozi. Nimegeuza nambaNaona kama umechanganya mkuu, EU Embassy sioT211?
Uingereza ni cd 115Plate namba za ubaloz zinajulikana kwa namba ya kuanzia ili ijulikane kuwa ni ubaloz gani kwa mfani
T116CD....... Ni marekani
T68CD.........Ni korea
T254CD.......Uingereza
Wengine wanaweza endelea hapo..
Huo ni uongo na kutokujua hakuna namba za hivyoHapo kwa DC na RPC imeanza lini!?
A ni alphabet tu itakuja DFPB; DFPC n.k.DFP-A ipo nayo , humanisha nini? au nini kirefu chake hasa hiyo A
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeniKubum kubaaaa hiyo ni ya weusi mkuuu
E kirefu chake ni Escotkuna zile gari za usalama za ikulu huwa zimeandikwa "E" sijui inamaanisha nini na pia kuna gari za ikulu zimeandikwa "J" , kwa anae faham atujuze
Hiyo A ni baada ya namba za DFP kufika mwisho ndiyo wakaanza A. Wameanza na A watakuja kufika DFP ZDFP-A ni Donor Fund Project Africa
Si wanaanza kuamia Dodomahuku dodoma W na NW naziona sana
RPC na DC zijaziona labda kama ndiyo wamenza. Ila RC zipoNachoweza kusema kwenye DC sina uhakika sana au labda nitakuwa nimejichanganya lakini kwa RPC nimeshaiona labda waiondoe walivyonzisha PT maana huko nyuma PT haikuwepo