Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Sio Development Fund Project?
KJ = Jaji Kiongozisu-shirika la umma
jw-jeshi la wananchi
mt-magereza tanzania
dfp-donnors funded projects
sm-serikali za mitaa
j1,2,3,4-jaji
w-waziri
st-a,k,j,l etc-serikali ya tanzania
rc-regional commissioner
dc-district commissioner ingawa haipo hiyo umeitunga maana dc hutumia st`s
hata kp na kj hakuna pia...
Huyo kingunge ndio yuko sahihi kwa taarifa yakoKuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
Namba za ubalozi za nchi zina green number plate. Taasisi za umoja wa mataifa mfano UNHCR zina blue number plate.Kunatofauti gani ya plat number gari za Baloxi mbalimbali haha nchini
mkuu DFP skuizi.znaitwa DFPA Maana yake DONOR FOUNDATION PROGRAM AGENCY haya magari ni msaada kutoka USAID katika structure adjustment programs haya magari yenye hyo namba hata kenya ypoDevelopment Fund Project ukiileta kwa kiswahili unapata maana gani kiongozi? Nnavyojua mimi gari hizi zinaweza kuwa za serikari au za wafadhali zinazofanya miradi mbalimbali ya kimaendeleo, mfano IHI ya pale mikocheni wanatumia haya magari na pale most of the project zinafanywa na wahisani kwa hiyo ndio wanazipa namba hizo za Donor Funded Project, kwa maana miradi inayofadhiliwa na wahisani.
mkuu DFP skuizi.znaitwa DFPA Maana yake DONOR FOUNDATION PROGRAM AGENCY haya magari ni msaada kutoka USAID katika structure adjustment programs haya magari yenye hyo namba hata kenya ypo
mkuu.nakuambia ivyo kwa kuwa nna.sababuUnachemsha kiongozi, hiyo A ni additional tu katika zile herufi kama ilivyo STK,STL itakuja STM. Kwanini nakuambia ivyo, ni kwasababu ipo kesi moja mahala fulani walinunua landcruiser nyingi kwa kupitia mgongo wa taasisi moja ya kimataifa (Sio US-AID) kwa maana wakati hiyo taasisi wananunua magari na wao wakaomba wawajumlishe ili wapate punguzo. Sharti waliliowapa ni lazima watumie hizo namba za DFPA, ikiisha DFPA itafuata DFPB mark my words.
Yupo sawa. Hizo namba hutumiwa katika mradi ambayo imefadhiriwa na nchi za nje, na hivyo hajulikana kama Donor Funded Project.Kuna kingunge alisema ni Donor Funded Project kumbe alitudanganya
mkuu.nakuambia ivyo kwa kuwa nna.sababu
au shulen hukusoma structure.adjustment.programs?
tatzo ww umeskia rakin.mjomba wangu ni dereva hapa songea hospital na amekabidhiwa DFPA kanipa maelezo hayoDuh, endelea kubisha. adios amigo.
sasa mjomba wako kakuhadithia, au kwakuwa mimi sikutaka kukueleza nafanya nini na wapi? acha maneno ya kusikia jifunze zaidi utanielewa tu hata kama sio leo.tatzo ww umeskia rakin.mjomba wangu ni dereva hapa songea hospital na amekabidhiwa DFPA kanipa maelezo hayo
Kaomba kirefu cha herufi za kwenye vibao vya nambaRC GARI LA MKUU WA MKOA
DC GARI LA MKUU WA WILAYA
W... GARI LA WAZIRI FULANI