Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Sio Development Fund Project?

Development Fund Project ukiileta kwa kiswahili unapata maana gani kiongozi? Nnavyojua mimi gari hizi zinaweza kuwa za serikari au za wafadhali zinazofanya miradi mbalimbali ya kimaendeleo, mfano IHI ya pale mikocheni wanatumia haya magari na pale most of the project zinafanywa na wahisani kwa hiyo ndio wanazipa namba hizo za Donor Funded Project, kwa maana miradi inayofadhiliwa na wahisani.
 
KJ = Jaji kiongozi,
MT = Magereza Tanzania
ST = Serikali ya Tanzania, herufi zinazofuata ni aina ya toleo tu, mfano(STL, STJ, STK, STG, STH n.k)
 
su-shirika la umma
jw-jeshi la wananchi
mt-magereza tanzania
dfp-donnors funded projects
sm-serikali za mitaa
j1,2,3,4-jaji
w-waziri
st-a,k,j,l etc-serikali ya tanzania
rc-regional commissioner
dc-district commissioner ingawa haipo hiyo umeitunga maana dc hutumia st`s
hata kp na kj hakuna pia...
KJ = Jaji Kiongozi
 
Kunatofauti gani ya plat number gari za Baloxi mbalimbali haha nchini
 
Namba za ubalozi za nchi zina green number plate. Taasisi za umoja wa mataifa mfano UNHCR zina blue number plate.
Mfano T115 CD205.
T115 inawakilisha nchi ambayo ni UK
T116 USA
T60 Kenya
T4 Angola
T59 Japan
T50 India
Zinaenda alphabetically. Gari ya balozi mwenyewe namba yake inaishia CDM1
Mfano T37 CDM 1 hio ni gari ya balozi wa Ujerumani.
 
Development Fund Project ukiileta kwa kiswahili unapata maana gani kiongozi? Nnavyojua mimi gari hizi zinaweza kuwa za serikari au za wafadhali zinazofanya miradi mbalimbali ya kimaendeleo, mfano IHI ya pale mikocheni wanatumia haya magari na pale most of the project zinafanywa na wahisani kwa hiyo ndio wanazipa namba hizo za Donor Funded Project, kwa maana miradi inayofadhiliwa na wahisani.
mkuu DFP skuizi.znaitwa DFPA Maana yake DONOR FOUNDATION PROGRAM AGENCY haya magari ni msaada kutoka USAID katika structure adjustment programs haya magari yenye hyo namba hata kenya ypo
 
Unachemsha kiongozi, hiyo A ni additional tu katika zile herufi kama ilivyo STK,STL itakuja STM. Kwanini nakuambia ivyo, ni kwasababu ipo kesi moja mahala fulani walinunua landcruiser nyingi kwa kupitia mgongo wa taasisi moja ya kimataifa (Sio US-AID) kwa maana wakati hiyo taasisi wananunua magari na wao wakaomba wawajumlishe ili wapate punguzo. Sharti waliliowapa ni lazima watumie hizo namba za DFPA, ikiisha DFPA itafuata DFPB mark my words.
 
mkuu.nakuambia ivyo kwa kuwa nna.sababu

au shulen hukusoma structure.adjustment.programs?
 
tatzo ww umeskia rakin.mjomba wangu ni dereva hapa songea hospital na amekabidhiwa DFPA kanipa maelezo hayo
sasa mjomba wako kakuhadithia, au kwakuwa mimi sikutaka kukueleza nafanya nini na wapi? acha maneno ya kusikia jifunze zaidi utanielewa tu hata kama sio leo.
 
Back
Top Bottom