Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Sio Development Fund Project?
Development Fund Project ukiileta kwa kiswahili unapata maana gani kiongozi? Nnavyojua mimi gari hizi zinaweza kuwa za serikari au za wafadhali zinazofanya miradi mbalimbali ya kimaendeleo, mfano IHI ya pale mikocheni wanatumia haya magari na pale most of the project zinafanywa na wahisani kwa hiyo ndio wanazipa namba hizo za Donor Funded Project, kwa maana miradi inayofadhiliwa na wahisani.