Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

sipati picha kama tzm, tzb tzh nk. zingeendelea kuwepo naona mpaka sasa tungekuwa na tzz
 
Hii mana yake nin
c57cc789a876135d5d8a0eecd8216bcb.jpg
 
Ahsante kwa elimu yako ila je na iliyoandikwa E J kwenye msafara wa raisi huwa ni escort tu au
 
UFAFANUZI:
1. gari za ikulu zikiandikwa E zinamaanisha Escort. ni xile za kusindikiza misafara ya viongozi
2. tutambue kinachozungumzwa hapa sio vifupi vyovyote vya viongozi bali vifupi kwenye namba za gari. kumbe aliyesema DC(mkuu wa wilaya) nadhani hii haipo kwenye namba za gari.
3. RC-mkuu wa mkoa. hii kweli ipo. ila RPC kwenye magari cjaiona kwangu itakuwa ni elimu mpya. asante kwa uliyetujuza.
4. kweli gari za TISS kwa maadili na mazingira yao hazipaswi kuwa na namba maalumu iki zisiharibu kazi.
5.Polisi pia ktk idara ya upelelezi wanaweza wasitumie PT ili kufanikisha kazi za kiintelijensia
6. gari za kibalozi ukiacha ile CD, kuna namba maalum wamepewa kila ubalozi kiac kwamba gari yoyote ya ubalozi ikipita wapo wanaojua ni ubalozi gani. naomba anayejua atujuze.
Za ubaloz hua zinaanza na T halaf namba halaf zinaishia na CD...mfano T116 ni marekan....T117 ni uingereza
 
Back
Top Bottom