Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du u u!BWL -Babu Wa Loliondo
Utetezi =utapeli.Du u u!
Ni kweli Mkuu?
Huyu ndio nani? Hili jina, nililisikia zama a a a ni! Watu wanadai lilihusishwa na utetezi.
Mi hata sijui na wala sikumbuki.
Ukikutana na Nissan Patrol nyeupe T xxx BFS na BFP ujue ngadu hao. If course kuna series nyingine nyingi
A hapo ni serial. Zitakuja DFPBDFP-A ipo nayo , humanisha nini? au nini kirefu chake hasa hiyo A
E maana yake Escortkuna zile gari za usalama za ikulu huwa zimeandikwa "E" sijui inamaanisha nini na pia kuna gari za ikulu zimeandikwa "J" , kwa anae faham atujuze
Kijani ni ubalozi na bluu ni mashirika ya Umoja wa mataifaVipi kuhusu namba zinazoanza na CD rangi ya BLUU ns zile zinazoanza na CD rangi ya KIJANI??
Si lori hilo mkuuNa DAF ina maana gani?
donor funded project .....ADFP-A ni Donor Fund Project Africa
Soma namba 15 kwenye uzi hapo juuHii mana yake nin![]()
Sio zote za usalama. Polisi idara ya upelelezi nao wanazo. lakini tambua pia gari za wenye special number wanazo namba nyingine za kiraia kwa gari hilohilo.Nikiona Gari yeyote Haina Sticker(Bima,TLB etc) kwenye Kioo na ina number Binafsi(Yaani Hizi Za Kawaida) hapo machale yananicheza.
Za ubaloz hua zinaanza na T halaf namba halaf zinaishia na CD...mfano T116 ni marekan....T117 ni uingerezaUFAFANUZI:
1. gari za ikulu zikiandikwa E zinamaanisha Escort. ni xile za kusindikiza misafara ya viongozi
2. tutambue kinachozungumzwa hapa sio vifupi vyovyote vya viongozi bali vifupi kwenye namba za gari. kumbe aliyesema DC(mkuu wa wilaya) nadhani hii haipo kwenye namba za gari.
3. RC-mkuu wa mkoa. hii kweli ipo. ila RPC kwenye magari cjaiona kwangu itakuwa ni elimu mpya. asante kwa uliyetujuza.
4. kweli gari za TISS kwa maadili na mazingira yao hazipaswi kuwa na namba maalumu iki zisiharibu kazi.
5.Polisi pia ktk idara ya upelelezi wanaweza wasitumie PT ili kufanikisha kazi za kiintelijensia
6. gari za kibalozi ukiacha ile CD, kuna namba maalum wamepewa kila ubalozi kiac kwamba gari yoyote ya ubalozi ikipita wapo wanaojua ni ubalozi gani. naomba anayejua atujuze.